@mick69712: Siku hii ilikuwa furaha😁ya watu wa Arusha Ethiopian Airlines ikiluka Katika uwanja mfupi wa Arusha Airport #ethiopianairlines #avitionlovers #tanzaniatiktok #tiktoker🇹🇿tztiktoker🇹🇿 #foryou
Hiyo ndege ilikua inatua kia lakini kia kukawa na matatozo so haikuweza kutua ikakaa angani kwa muda rubani akauliza kiwanja cha karibu akaambiwa kisongo akapita kukiangalia akasema naweza kutua akatuanayo naakairusha hao wazungu walio tengeneza pia walishangaa kawezaje hapo akishusha watu wote wakabaki wawili tuu
2025-10-22 04:46:51
23
user4084567284619 :
walienda KIA ku adjust settings
2025-10-21 19:01:32
3
Wildo :
Hawa ndo ma legendary😁
2025-10-22 03:59:23
6
ok_studio :
kitu msichojua Mimi ndie nilikua rubani
2025-10-23 05:28:27
7
MZAZI77🌳 :
ruban dem alf alikuwa
2025-10-23 22:06:45
5
Socond born :
huyu sio rubani, ni davoo, maana alivyo ipika apo adi unasikia chuma ni kama tupu. au aliruka na abiria??
2025-10-22 07:59:36
8
ffeysaly :
nilikuwa kitoto😅😅
2025-10-23 17:51:22
2
Alvin_DBX :
Achen kujadili ndege yangu
2025-10-23 06:03:09
4
Wilson Malecha :
Huu ni uwanja Gani? mbona take of ni fupi?
2025-10-25 10:50:01
2
James kilembi :
tulio geuza cm ili tuone vizr tujuane 😅😅😅
2025-10-23 09:04:56
1
Captain_tips⚽ :
kumamake mashine inachanganya chap kinoma engine ngapi hiii😂😂
2025-11-12 19:33:03
0
San_0.007 👽 :
jamaa alikusanya upepo mpk wa wananchi na akaruka nao
2025-10-22 07:20:27
4
kennyone🇩🇪🇷🇴 :
kipind iko nilikuwa shule Arusha ilipita tukaiona
2025-10-21 21:21:26
4
Alka :
Sema s25 ingekuwepo
2025-10-23 10:57:16
2
Jackson Mdee - Massage Guru ♐ :
respect to the team 🔥
2025-10-27 04:58:41
1
255_tycoon :
Chuma imekata ringi nini, inatoa moshi san😂
2025-11-16 06:46:32
1
sonkojr36 :
Huyu ni davoo wala siyo rubani
2025-10-26 19:32:10
1
king.smile🤴 :
mwandishi amlizia na ikivunja rekodi kidunia
2025-11-10 19:59:15
1
MHAFIDHINA :
mbona take of fupi sana??? kwanba linachanganya mapema kiasi hiki😳😳😳
2025-10-22 16:51:54
13
Allblack :
Wait this plane is not even labelled. No Tail Number. No Colors. No Airlines Logo. No nothing. 😬
2025-11-12 08:59:33
1
BOXERS 125 HD⛳⛔🦺🚀🚀 :
atakua michuz is the road
2025-10-27 14:35:10
1
Tanny :
Marvellous 👏👏👏👏
2025-10-23 10:13:58
1
Mr.Black+255 🇹🇿 :
2025-10-23 06:54:41
1
MELON 🚫 :
uwiiii
2025-10-23 06:17:38
1
Deno Gugo :
Kaichekecha moshi tatu tatu mpaka ikaeleweka
2025-10-23 18:41:42
1
To see more videos from user @mick69712, please go to the Tikwm
homepage.