@geehcollection_dodoma: BORIC ACID 🌸Ni dawa nzuri ya kutibu na kumaliza tatizo la fungus na bacteria vaginosis inasaidia sanaa ata kwa mtu asiye na tatizo kujidetox na kujikinga na fungus na bacteria vaginosis 🌸Boric acid inakusaidia kuwa fresh 24/7 inabalance Ph ya uke, inaondoa harufu mbaya ukeni, inaondoa miwasho ukeni,inapunguza tatizo la ukavu ukeni, na kutibu na kumaliza tatizo la fungus na BV FUNGUS 🌸Muwasho, kuhisi kuungua ukeni 🌸Uchafu mweupe au wenye rangi na harufu 🌸Maumivu kwenye tendo (sex) BACTERIA VAGINOSIS 🌸Uchafu mwepesi wenye rangi nyeuoe, njano, au kijani 🌸Harufu ya samaki walio haribika baada ya tendo, baada ya period na hata kwenye siku za kawaida
🌸Maumivu wakati wa kukojoa, muwasho ukeni JINSI YA KUTUMIA 🌸Dozi yake ni kidonge 1 unaweka ukeni kila siku usiku kwa siku 15 mfululizo . 🌸Pia unaweza tumia kidonge 1 after period kwa siku 3-5 mfululizo ili kujidetox na kujiweka sawa
GEEHCOLLECTION DODOMA
Region: TZ
Tuesday 21 October 2025 11:46:56 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @geehcollection_dodoma, please go to the Tikwm
homepage.