@vv3asia: Replying to @abba_oba #fyp #spir#chooseone #kenyantiktok🇰🇪 #tiktoktz🇹🇿

Vivian_Herbalist 💜
Vivian_Herbalist 💜
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 October 2025 11:47:56 GMT
872077
52026
3956
6382

Music

Download

Comments

pamela_bernard0
Pamela :
tatizo ni kwamba hatuna marafiki alafu watu wengi hawatupendi hadi ndugu tulio zaliwa nao wanatutenga
2025-10-21 21:39:04
1604
ngondaemmanuel
mussa :
na huwa wanaonekana wana pesa hata kama hawana
2025-10-22 06:59:28
1712
umuzubeir
Turkana finest💕 :
They are comfortable and feel at peace when they are alone.
2025-10-22 11:29:55
914
user3cd4jleobf
Nellywise :
Choose one like apa
2025-10-21 20:42:41
734
elikamwakipesile
elikamwakipesile :
naumia tu kwamba wanasaidia hawasaidiwi😭😭
2025-10-21 18:00:05
786
neemfurahasanga
NEEMA SANGA :
WANACHUKIWA NA KUKATALIWA SAANA.😭
2025-10-22 05:57:17
619
anold.gerald1
Anold gerald :
Chosen one ni wagumu sana kumuamini mtu yeyote.
2025-10-21 16:59:19
557
user44663042724akikolynn
Rich A :
what I know a bout chosen ones is that this people are very sensitive..
2025-10-21 20:22:46
241
sweetybaby475
@Pendova🎀🦋 :
na atupendagi kukaa n wat MD wote tunajifungia pkee yetu
2025-10-21 17:02:20
557
josephkelly410
Kelly Josephkelly :
we have no friends,,even family members don't like us,,
2025-10-24 12:55:27
65
user1356658514814
user1356658514814 :
maisha yao ningumu sana then wanakuwanga under attack every time,na huwezi pikana na wao very true
2025-10-21 16:06:12
142
user146719761659
Queen Shikz👑 :
Their resilience and ability to bounce back from setbacks is unmatched
2025-10-24 02:02:30
15
directorsaimaco
directorsaimaco :
Hatupendi starehe. Huruma 100% na machozi yakiwemo. Fikra za moja kwa moja. Tunapenda kushauri. Ukweli ndo usiseme. Kukaa pekee yetu ndo tunapenda.
2025-10-24 22:21:18
46
daudimajesty
Daudi :
Maisha yao ni magumu saana lakini wanapata njia ya kujitoa kwa matatizo yeyote...
2025-10-22 13:23:58
294
mtanzania_mie255
mtanzania mie :
roho ya kukataliwa inatuandama sn. Kudharauliwa na kuchukiwa live na watu. Nateseka sn ktk hili
2025-10-22 18:30:41
146
waxing_dar_eslaam
Waxing_dar _ es salaam :
Watu huangaika kuwaloga ila mungu anawalinda na wanaota sana mda mwingine maono,
2025-10-24 10:43:02
22
ngondaemmanuel
mussa :
hawalogwi hata siku moja ni hatari sana
2025-10-22 07:52:55
237
user3cd4jleobf
Nellywise :
Wao kupata msaada ni ngumu sana ila ni wepesi kusaidia
2025-10-21 20:44:52
114
mbogomwapeho
mbogo mwapeho :
mimi nafanyia familia yangu mambo mengi ila hata mamangu mzazi hanipendi its so painful
2025-10-29 18:25:47
18
salomekonas780
Salome Konas :
Ila ni mabalaa kila siku,ukifurahi siku moja,tano za majonzi,ila nimezoea
2025-10-21 17:58:20
190
dee_staar_tz
dee_staar_tz :
pia familiar zao waga haziwakubali kabsa
2025-10-22 08:07:03
59
lyn04650
Lyn :
Hata kwa familia mahali tumezaliwa wanatuchukia,
2025-10-22 07:45:15
53
justin79208
justin :
🥳🥳🥳💯Leo ni siku ya kwanza kukutana na spiritual guide wa kiswahili .kazi nzuri 💯🙏
2025-10-22 17:43:26
42
magohe229
MAGOHE BINGWA WA TIBA ASILI. :
Wengi wao ni wazaliwa wa kuanzia mwezi Aprili,May na tarehe za mwanzoni za mwezi June
2025-11-11 03:07:50
15
user25261853061048
msabila83 :
wanachukiwa na ndugu
2026-01-03 23:33:19
5
To see more videos from user @vv3asia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About