@mofasa_mobile: Tall ,black and handsome I support you my sisters 😂Tumepitia mengi🙌 #tiktokviral #swahilitiktok

mofasa_mobile
mofasa_mobile
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 October 2025 12:14:52 GMT
190230
15398
1272
2387

Music

Download

Comments

fedrickdaudfamily
Fredy :
Hata kanisani wakati wa maigizo walikuwa wakituweka upande wa shetan😂😂😂
2025-11-06 05:21:22
666
iamdebby255
iamdebby255 :
Ukishakuwa mweusi unaonekana mwizi sijui kwanini
2025-10-21 13:54:07
546
coconu566
🌷͙֒𝘾𝙤𝙘𝙤𝙣𝙪𝙩🌷͙֒ :
na siisi wanawake weusi tunayoyapitia had ukubwan😂😂💔💔
2025-10-22 11:20:27
343
mamycayden
~MOM CAYDEN💞🎀 :
Wanataka wanaume weusi lakini watoto weupe😄
2025-10-21 15:49:07
277
stesy.michael
Shemahonge hardware’s :
Mie nilikuwa nasema sitak mwanaume mweupe,mwenye mwanya…sawa Mungu akanisikia akanipa mume mweusi tena mweusi san basi tukazaaa mtoto wa mwaka akawa mweusi kiasi and I was oky with it..nkazaa wa pili wakiume pia…nyie mtoto ametoka kama albino n mweupe jmn hadi nkamuuliza dr mbona yuko ivi?….n mweupe stage ya mwisho…sasa mwanangu anamiaka miwil n mweupe na anamwanya nkawaza ndani ya moyo wang kuwa nilimkosea Mungu..sasa nipewa mtoto mweupe means ikawa mkubwa na yeye atakatiwa kisa n mweupe?….niliumia nkasema never in my life kurudia hizi tabia Mungu atusaidie watoto wetu wasipitie iyo hali
2025-11-10 06:18:08
5
bigman_satoh
Bigfish🐋 :
Nachoka mm kaka yenu 😂😂😂😂
2025-10-21 20:19:00
3
dyanatrez12
dynatrez :
Mm nlikuwa naitwa Diana bomu 😂 sahv wananiambia na weusi wamtelezo
2025-12-09 19:10:17
2
christabella71
Bellah🦋 :
🤣🤣 Wanaume weupe sio wanaume full stoop
2025-10-21 13:40:18
25
t.h.a.b.i.t.i_
Bigfish🚧 :
kwan kwl alilia Darasan kaka..?😂😂😂😂💔
2025-10-22 06:55:42
1
pendo.chez
pendo ♈️ :
Mungu nipe kama huyu weusi wa kuteleza🥰
2025-11-18 13:31:05
2
healing_soul.24
healing_soul.24 :
nimechoka mm mchepuko wa clemence mwandambo😂😂😂😂
2025-10-21 14:11:35
1
muhammadrasuluallah
miss remuu :
😂😂umejua kuniekea mood yangu sawa kdg, asante
2025-10-22 08:42:40
1
shirad6020
shirad21 :
huwa wana lopoka hakuna mwanamke anae taka mwaume mweusi labda wanaume weupe wamkatae2
2025-10-24 10:33:24
0
n.artist6
Me🌹✨ :
mweusi alikuwa mganga 😂😂
2025-10-22 12:09:12
2
___paulinah
Paulinah :
Tumeshatoka kwa dark mbona😭syllabus imebadilika, tumerudi kwa light😂😂🙏
2025-10-21 14:43:10
4
user4932370834345
Esther G :
🤣🤣🤣🤣 jambazi
2025-10-22 11:30:35
1
bhoke.cute
bhoke 🦋 :
😂😂😂😂😂😂😂 Hukupewa 🎬 ya kuwa mganga
2025-10-21 15:36:26
2
given80me
She-he-is-Given ❤️ :
Hv ww kk ujasoma st Matthew au nimekufananisha 😂
2025-10-22 11:24:16
3
floracosmetics12
Lora_store :
😂😂Me mkaka mweusi halafu anajua kuvaa,mrefu kiasi tu na awe anapiga gym kwisha mimi
2025-12-02 14:18:07
0
its_muuh_
MUSSAH 🤍 :
2026-04-03 21:35:05
0
faithjack41
Faith cosmetics💄 :
Ila wanawake weupe tunayopitia ninyamaze tu😅😅
2025-12-26 21:15:27
0
goddeswema
Wema ᥫ᭡ :
@Rumy miles nimekumbuka😂😂
2025-10-21 21:21:23
2
pharzbrand
📸pharz's brand 📸 :
😂😂
2025-11-09 07:49:31
0
karr_3n
Ka.ren:) :
@ms.lyneh @🌹_M.a.r.y.a.m_♥️🚀 😂😂😂
2025-10-21 17:47:04
1
dressdiar
dress diary :
@Heavenly 😂😂😂
2025-10-28 09:04:25
1
To see more videos from user @mofasa_mobile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About