@petermsechu: Mteja wetu @migebuka_fresh ameamua kutupa njaaa kwa kweli๐๐ฝโโ๏ธ๐๐ฝโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ leo mchana mteja wetu amepitia Migebuka wakukaanga buchani kwetu na kajilia kaugali kake kamoto sana Migebuka yenye tunyanya chungu mweeeeh๐๐๐๐ Wateja wetu tumewarihisishia kabisa unapotaka kula Samaki wetu usiwaze kuhusu Muda wa kutayarisha samaki, tunakukaangia kabisa samaki weee kazi yako ni kwenda kuunga tu nakula๐๐๐๐ Piga simu na kuweka oda sasa hivi Migebuka fresh Kibamba 0747442210 Migebuka fresh Bahari Beach 0741205958 #Migebukafresh #Chimhila