Nataman ningefanya hii challeng ila babangu hanipendi 😭💔
2025-11-22 09:46:38
796
@lynn Alpha :
kazi ya babangu ni kuniaibisha na ulevi kila siku 😭
2025-11-23 09:38:25
216
@da zuu_clothing Mwanza1 :
Finally wanaume wamepata wimbo wao
2025-10-23 14:14:02
400
🦋saida🦋 :
wale waliokataliwa toka mimba na babazao apa wanataman walie haooo😂😂
2025-11-16 15:37:56
95
maryciannah :
tusio na baba tunacoment wap au ndo vichozi vinalenga
2025-12-01 07:26:57
57
dyreen trizer :
sisi watoto wa single mothers tuna ona kama hii wimbo ni AI
2026-01-10 18:08:08
73
mchina cute ❤️ :
Siupendi huu wimbo
2026-01-12 20:10:10
7
G L O R I F Y ✝️ :
Hii nyimbo inafanya nitamani baba yangu angekuwepo🥹🥹
2025-10-23 05:57:14
111
Mr Mustapha Chidy :
R.I.p dady, ulipambana sana ila hujala hata Mia yangu , daaah Allah akupe kauli dhabit
2025-11-22 19:41:26
76
charming queen 🤍💃 :
maskini mim ata simjui baba yangu🥹😭
2025-11-27 20:32:59
21
Catrida2820 :
Pumzika kwa amani baba angu 😭😭😭😭
2025-11-16 08:28:56
7
BABY❤️ ZUUH OFFICIALL :
Rest easy babangu 🥺
2026-01-05 15:43:10
18
DeeV Fashion House :
Ukiwa na wazazi wote raha jamani🥰
2025-11-19 05:13:46
20
LUDAH :
🥺🥺Nafunga ndoa December Ningeingia na baba angu na huu wimbo ila alinikataa Tangu ujauzito na hadi Leo hanitaki kabisa 🥺🥺🥺
2025-11-23 21:15:37
31
Stella Christopher :
baba Kwann sasa ulilala mapema unaona maumivu naypata binti Ako 😭😭
2025-11-22 13:29:09
23
cutty thuma :
Wenye tumezika baba zetu 😭tulike hapa 🥹
2026-01-11 06:29:56
7
baby baby🥰🇨🇦 :
tusiokua na baba tujuane😥😥😥
2026-01-11 07:27:57
11
Anna Mungure :
😭😭😭😭 Heri wenye baba mimi alikufaa juu yangu ila mama wa kamboo watt wako watapanda na kushuka kam mimi nakulaani kwa kumuuwa babaang juu mimi akuna ataekuwa na maishaa hata ck mojaa mbing na ardh isikie hili rest in peace dady😭😭😭
2025-12-05 11:31:05
5
Jessie :
mwanaume wa kwanza kumuimbia baba.... hongera hatimae wamekumbukwa🥰
2025-10-24 09:53:15
84
Borbo Ingo :
pumzika kwa amani baba na mamaangu😭😭😭😭😭😭😭
2025-10-23 20:49:55
24
Tammy :
Kama baba yako yup hai weka like ❤❤
2025-11-29 09:37:22
7
kasweet :
mungu nitunzie babayangu siku ya harusi yangu nimuimbie huu wimbo nakupnda baba🥰
2025-10-23 11:01:36
15
Martha Nathan :
pumzika kwa amani baba yangu
2025-10-23 05:08:44
40
Rooh Al-Huda💫💜 :
Atleast ujue hata kaburi la baba kuliko hujui hata alipo😭🥹😟so pain🥹😒😭
2025-11-23 11:37:08
21
@ms_raim♈️ :
Ambao hatuna baba,rest in peace mzee wangu💔
2025-12-06 15:58:15
7
To see more videos from user @annuh_masterpix, please go to the Tikwm
homepage.