@afya.care2: 1.🧼 Kaa safi na kavu – oga mara kwa mara na hakikisha eneo la uke linakauka vizuri. 2.🩲 Tumia nguo za ndani za pamba – huruhusu hewa kupita na hupunguza unyevunyevu. 3.🧴 Epuka sabuni zenye manukato – zitumie sabuni laini zisizo na kemikali kali. 4.🚫 Usijitibu bila ushauri wa daktari – hasa kama vipele vinauma, vinatoa usaha au haviponi. 5.💊 Muone daktari wa wanawake (gynecologist) – kupata uchunguzi sahihi na dawa zinazofaa. 6.🍎 Kula vyakula vyenye virutubishi – kama matunda, mboga na maji mengi kusaidia kinga ya mwili.#AfyaYaMwanamke #VipeleUkeni #AfyaYaUzazi #UsafiWaUke #AfyaTips