@gloryhousedaressalaam: Jambo moja linalobariki mioyo yetu ni kwamba, linapokuja suala la kumsifu Mungu wetu, hata watoto wa Nyumba ya Utukufu hawabaki nyuma — kila mmoja kwa nafasi yake huinua sauti ya sifa kwa Mtetezi wetu, na hakika, hemani Mwake hujawa na furaha isiyoelezeka! Huu ni ushahidi kwamba sifa kwa Mungu wetu ni urithi unaopitishwa kizazi hata kizazi! Kama hujawahi kuabudu pamoja nasi na huna uzoefu wa ibada zetu jinsi zinavyokuwa, basi acha post hii ikupe hamu na shauku ya kuabudu nasi Jumapili hii. Mahali ni hapa Goba, Kituo cha kanisani, mkabala na Engen Petrol Station. Mikono yetu iko wazi daima kukupokea 🤲. Karibu! // Mawasiliano: 0755 276 817 #sundayservice #testimony #propheticdeclaration #blessing #ghc #gloryhousechurch #gloryhousedaressalaam #builinglivesraisingchampions #tiktokTanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪#fyp#kenyantiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #foruyou #foryoupage #gospelsong #lyrics #praise #lord #music #worship #song #fyp #fypviral: #viral
Glory House Church Tanzania
Region: TZ
Thursday 23 October 2025 15:06:12 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @gloryhousedaressalaam, please go to the Tikwm
homepage.