@wepaint_tz: Tunajua kwamba kwako, Ubora na Umakini ndio kila kitu. Huu ndio mwelekeo wetu kama WE PAINT. ​KWANINI UTUCHAGUE SISI (WE PAINT)? ​Ustadi Usio na Mashindano Kazi yetu haipotezi muda. Tunakupa finishing safi, ya kiwango cha juu, inayodumu. ​Rangi za Kifahari (Premium Brands) Tunajua wateja wetu mnahitaji ubora zaidi. Ndio maana tunamshauri mteja kutumia material za Rangi zenye ubora wa kimataifa (kama DREWA, CONMIX, na MINUT DECO) ambazo hazichubuki na zinang'aa kwa muda mrefu. ​Amani Yako Ndio Kipaumbele Tunafanya kazi kwa heshima na usafi wa hali ya juu, tunakamilisha mradi wako kwa wakati uliopangwa. Unabaki na nyumba safi na yenye kupendeza. ​Wekeza katika muonekano wa nyumba yako leo! Wasiliana nasi moja kwa moja kwa ushauri wa bure na makadirio. ​📞 0621-996147 📍 Dar es Salaam. ​#WePaint #UboraUnadumu #RangiZaKifahariTz #DarLuxuryHomes

wepaint_tz
wepaint_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 October 2025 10:51:38 GMT
93600
1458
60
334

Music

Download

Comments

kussimulabaraka
Father Kussimula :
@kaka umetisha
2026-01-12 18:54:12
1
johnmichael6705
john michael :
iviyo inaitwaje kitaalam
2025-10-25 18:17:14
0
vero231193
Mis_dollar :
Ivi inafaa kupiga juu ya puch au lazima ikanguliwe kwanza
2025-10-26 14:04:31
3
tiktok_on__x
Amazing :
bei yake ngapi?
2025-11-16 15:28:08
0
mindsetwithmunir
@MindsetWithMunir :
hello
2026-04-12 00:58:10
1
cute_hammy
cute_hammy :
Mwenye kujua sumu ya mende inamaliza mende ndani jamani msaada😭😭😭😭
2025-11-17 08:57:23
0
kamamaa032
Kamamaa🌹 :
Ufund ni howa much na rang n how much
2025-11-18 17:14:05
1
aristo12www.tiktok
aristo master finning :
iyoo ni conmix ya sinent
2025-11-29 09:12:13
1
massana37
massana :
unapatikana wapi mie nko dar
2025-10-25 09:13:23
0
ramadhanson1
Ramadhan son :
hiv kabla ya kupiga rangi,kati ya binder au emulsion ipi nzur
2025-11-12 14:21:41
1
mrtraveller22
number10💥 :
Namba zako nataka
2025-10-29 05:14:40
0
masini993
mashenenemasini :
bei yke sasa😁😁😁
2025-11-07 17:55:10
1
brayan.massawe2
brayan massawe :
ii ki2 sijawaii ona mazeee acha uwongo fundi
2025-10-24 20:02:31
1
maryhumbi
maryhumbi :
mnapatikana wapi fundi mkuu
2025-10-29 06:37:35
0
salim_sportwear
Salim_sportwear :
Namba ya huyo fundi mpole utupe 🤝🤝
2025-10-29 05:16:20
0
user937391134
rahma 99 :
Kumbe shukrani nilikuwa sijuwi 🥰
2025-10-29 06:07:23
0
kussimulabaraka
Father Kussimula :
bei na je? hii ndiyo Conmix?
2026-01-12 18:54:50
1
adela.misanya
Adela Misanya :
Nahitaji hii
2025-10-28 14:12:32
0
son.of.jose
Son of Jose :
kuipiga hii fundi kuna ulazima wa skimming au aina haja?
2025-10-25 17:02:53
1
malsaeden
Salma Vicky :
hii inafaa zidii ile chumvi ya dodoma
2025-11-20 11:04:58
1
mamdoubleg
MAMA G MTUMBA COLLECTIONS🩵💚 :
🥰🥰🥰
2025-11-14 08:25:52
0
maryammasamaki4
SALMA HOME DECOR TZ :
@naa
2025-11-14 09:27:18
0
christina.monyi
Christina Monyi :
💪💪💪
2026-07-17 13:12:36
0
mangeey.gypsum.doc
mang'eey gypsum docoretion :
hongera
2025-11-29 20:59:50
1
To see more videos from user @wepaint_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About