822kj asee๐๐๐ Yan hapo mablanket yanaruka juu tu na vshindo kikimbizana๐๐๐๐๐ฃ
2025-10-25 16:19:58
21
Alicea :
oyaa wale wa 821kj sitaji Jina mkuje hapa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2025-10-25 01:30:06
28
Subway :
843kj uamshwe hivo ni ndoto
2025-12-31 12:10:26
6
Didas pascrates leonidas :
hapo unakuta umelala sa7 na unaamshwa sa 9 ๐๐๐ ila jeshini ๐ซก๐ซก
2025-10-24 20:18:57
29
riffat Raidhin Khafidh :
alafu alitoka hapo anakwambia wee lala mi naenda kufoleni
2025-10-25 05:41:01
74
Chimamy_ley๐ฅ :
๐Amechoka zake kukaa kituon kaamua kwenda kuwasumbua wakeshe wote๐๐
2025-10-24 21:23:22
31
Macha de cuty :
834 unaamshwa na bombaaaa mmmh ๐๐๐
2026-01-03 19:27:11
5
EmeliusMseya :
๐๐๐๐๐๐๐Aiseeeeeee hapo unaamka mixer kungโongโa na kutukana kimoyomoyo
2025-10-25 04:20:57
12
roddyrich :
sio ruvu kweli Hawa mboga saba๐๐
2025-10-25 03:58:52
5
โ :
uyu mbn muungwana sana anapetipeti loooooohhhh ๐๐๐๐๐๐
2025-10-24 22:46:12
8
Shaz bweder :
Yamegomesha baba yapigwe nua
2025-10-24 17:59:51
16
prince :
dah inanikumbusha mbali sana 838 kj..Hadi nilisahau mm ni jinsia gani...sehem za Siri zilipotea...
2025-10-24 20:51:53
10
Deee :
Sikilizia round ya pili akija ๐๐คฃ๐คฃ kuwafarakanisha
2025-10-24 20:51:47
5
sheby kp :
sasa hapo nifike usawa wa combania hujafka na nmeamsha kila kitanda uwiiiii nakufanya km kitoto cha nguruwe
2025-10-25 03:51:48
5
bintirashid_๐น๐ฟ๐ฐ๐ช :
wale wano kumbuk filimbi ikilia mara Tatu bado hujashuk unacho kutana nacho tujuwane ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2025-10-25 17:27:44
5
God is Great Always :
833KJ
2025-10-24 18:09:17
8
reney john :
owaaa uyo c matage yuko live
2025-10-24 14:43:31
6
Mr.Black+255 ๐น๐ฟ :
oya ngoja nikupe story kidogo ,๐๐kunasiku tulikua tumetoka mbio ndeefu tumefika tu tukambiwa tupite moja kwamoja kwenda kula,chakula kilikua chamoto sana ,afande akasema tule kwa haraka ,natena ikiwezekana bila kijiko๐ฅบ, kama kawaida kuropoka nikasema "anasemaje huyu ms*nge๐ฉ oya kulikua na privet nyuma alinisikia nilipigwa dosso broo wallah ata watoto wangu staki skia abari za jesh ๐ ๐
2025-10-24 23:13:25
57
masai :
walikuwa wanajua kukera hawa watu nyie anapuliza filimbi dakika 10 tu za mwanzo ukianza kupata usingizi.
2025-10-24 20:00:31
5
Nithen :
wale wa Oljoro Op uchumi wa Kati (Afande Verani๐ ๐ )
2026-01-21 11:52:47
1
lipambila jr :
sele uyo
2025-11-21 21:43:49
1
To see more videos from user @nickshan_tz, please go to the Tikwm
homepage.