@cawabemedia_: Wiki hii kwenye #sautiyajamii tulizngumza na wakazi wa Temeke wakielezea hali ya kisiasa Nchini katika siku chache zilizo salia kuelekea uchaguzi mkuu. Video kamili ipo YouTube yetu CAWABE MEDIA.
mbona wewe hujachimba kisima binafsi kwahyo kuna mwanaume mwenzio kachimba we unamlipa pesa tupambane kutafuta maendeleo mahi hakuna serikali itakupambania asilimia 100
2025-10-26 15:04:37
1
mimah_49 :
Njoo mwanza tu Tupo ziwan lkn maji hamna kukaa wiki bila maji Kawaida 😂😂 iyo buhongwa tu kwenda mpaka usagala maji hamna wala mabomba hayajawai kupitishwa