@azamtvtz: #CAFCL Goli la pili….Kazi imeanzia kwa Duke Abuya na kumalizikia kwa Pacome Zouzoua…Cheki move ya goli….!!! #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #YangaSC #SilverStrikers #YangaSilverSrikers

AzamTV
AzamTV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 October 2025 15:03:13 GMT
673599
32529
562
1202

Music

Download

Comments

faruckbey
faruck bey :
kama unamkubali pacome like please 🙏
2025-10-25 17:56:56
74
official_naemo
Naemo_Jr :
Ombi jmn 🙏 tunaomba Mzinga awe anatutangazia mechi zetu zote wanayanga 💚💛
2025-10-25 18:51:47
70
userr57fx845kb
love asia :
Timu yangu pendwa yanga hongereni sana 🥰🥰🥰🥰🥰
2025-10-25 15:56:40
65
user242527067
zainab :
wamebembwa 😭
2025-10-25 18:29:58
17
elman__king
elman :
hatua ya makundi.. mnashangilia kama kombe la dunia
2025-10-25 16:53:24
31
user106996152
user106996152 :
hatuna baya shetani lile limetoka
2025-10-25 16:27:24
33
mshuzah
𝐦𝐬𝐡𝐮𝐳𝐚𝐡 :
hapo angekuwa dube anapiga nje 🤣🤣🤣
2025-10-25 17:36:28
37
realmale183
REALMALE💀 :
yan pacome kajiongeza kupita nayo ile pasi kama ingeiacha ikaenda kwa dube mambo yangekuwa mengine😂
2025-10-25 16:55:04
12
sakason59
saka brand⏸️ :
dube anashida masela 😂sio Bure
2025-10-25 18:13:44
20
winger460
winger :
sio tunashangilia kupita makundi ila n awamu ya tatu mfururizo na hakuna aliwahi kufanya
2025-10-25 18:22:50
57
user2191904823550
SIDE ALEX :
Pacome kombe la dunia atafanya makubwa
2025-10-25 18:07:16
5
user335464612
Khadija :
mambo ni moto Hadi raha💛💚💛💚💛💚💛💚🔥
2025-10-25 15:25:12
30
mgangathedy
Madame T💝 ✨💫 :
chizi vungaa😂😂😂😂 lkn Bora dube alivoomba kutoka tofauti na hapo mngestukia tu damu uwanjani maana nilikuwa nakaribia kumlenga na kombora
2025-10-25 16:31:52
8
its_ester007
its_ester007 :
20/20 mkuje
2025-10-25 15:10:25
6
cute.phina2
cute phina :
mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-10-25 15:26:45
15
user5230069834132
GuruB Rufunga :
simba wanahisi kufa 🤣🤣
2025-10-26 04:47:53
6
user76888813096873
BPM TMG :
tuna wachezaji wa uefa tuko nao yanga
2025-10-25 17:49:31
6
reywababa5
Reykhan@03 :
Daima mbele nyuma mwiko I love u Yangaaaa💛💛💛💛💛💛
2025-10-25 16:35:31
6
gisalisaaaaaaaa
salisaa :
Kamdomo😁😁😁
2025-10-25 15:54:36
9
mashcute2
Miss simkoko❤️ :
Mambo ya 🔥🔥🔥
2025-10-25 15:06:55
7
salum.electrician
Salum electrician 🚘🔧 :
jmn nipo porini hii ya leo au
2025-10-25 16:28:54
9
malchuy
Malchuy :
sisi hao Alhamdulilah 🤲🤲🤲🤲 to the group stage 💚💛🔰
2025-10-26 07:26:18
4
jamesmahatane
James Mahatane :
😂Ni pacome ni yanga bingwa
2025-10-26 16:15:14
1
anabelegantwear
anab :
wake 10/10 nalipa
2025-10-25 16:38:25
4
To see more videos from user @azamtvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About