Subhuanallah😢Allah atusamehe na atupe muongozo katika kila hatua tunayo chukua Amiin thuma Amiin..Astagharfruhallah🙏🏽
2025-10-26 15:02:33
114
Halima Omar :
Swala ni bora kuliko chochote duniani, Allahu'Akbar
2025-10-28 09:50:35
114
niffa :
ya rahman ya rahim tufanyie wipes ktk mambo mema
2025-10-27 05:48:53
39
mjay :
allah atufanyie wepesi kwenye swala
2025-11-23 18:45:20
19
Auntlaa :
Allah atuhitimishe na sala. Allah atuongoze njia iliyonyooka sisi na vizazi vyetu jamia islamia.
Allah atupe riski kwa wingi kwa ufalme wake na utukufu wake na atupe mwisho mwema husni na atupe pepo ya firdaus l-aala biidhnillah yarabi na atupe lhatima njema biidhnillah yarab jamia islamia.
2025-11-27 03:55:45
6
Ummu Sania🥰 :
ya Allah tufanyie wepesi na utuongoze tuwe ni wenye kufanya ibada on time
ya rabb taqabal swala zetu🤲
2025-10-27 06:19:33
13
user6600287816292 :
Allah tabaraka wataallah atufanye wepex
2025-10-27 12:42:31
7
M1B9A8M5A5D5 :
ALLAH ATUJALIE NGUVU ZA KUSWALI
2025-10-28 07:40:48
13
Pili Mohaa 002 :
Alhamdulillah Yarrabih nijaalie nibaki kua hivi nilivyo nisiipuzie swala Insha Allah 🤲🤲🤲
2025-10-27 22:30:14
5
@Yusradhin :
YA GHAFUR tusameh madhambi zetu
2025-10-28 05:35:40
8
mama mzaa chema :
Allah atujaalie tuwe wenye kusimamisha swala tano
2026-01-02 17:43:34
2
salmoo 💞 :
Allah atujalie tusiwe n wenye kuiacha swala
2025-12-10 13:55:06
3
Sufianil Hss :
mtihani mkubwa
2025-10-28 14:18:39
5
hanana _hijab :
Ameen
2025-10-28 10:21:34
5
KONKU :
allah atupe subra 😭🙏
2025-10-26 20:42:14
5
pretty najma :
Allah tufanye tusiwe wenye kuacha swala
2025-10-28 10:07:33
10
mum mohaa :
yarraby nijaalie uchamungu mm mja wako na uwajalie uchamungu kizazi changu 🙏🙏
2025-10-27 16:39:55
6
Abdoul mjomba :
shukran sheikh
2026-01-07 14:59:47
1
tambwe salumu Clément :
ya Allah tudjalie mwisho mwema 🤲
2025-12-01 05:42:25
6
Setembo the boy :
Allahu Akbaru🤲🤲🤲
yarabbi nijaalie uchamungu na uwajaalie uchamungu wazazi wangu
2025-10-26 18:46:00
19
Halima Siriri :
Allah Akbar
2025-12-29 17:53:04
0
userResh baby001 :
Yarraby nijalie niwe miongoni mwa wenye kusimamisha swala tano🤲
2025-11-06 05:48:34
3
mesaidi928 :
Allahu Aqbr,,,
2025-12-19 11:13:15
1
zuu :
wallah atujalie tuwe wenye kuishika swala
2025-12-25 07:18:53
2
zeii 🦋💋 :
Allahu Akbar 🥰🥰🥰🥰
2025-10-27 09:26:50
2
To see more videos from user @binsharif59, please go to the Tikwm
homepage.