@osbornsexhibition: Osborns Exhibition 2025 Ni mwishoni mwa mwezi November 🤩 Je ungependa kuwa miongoni mwa waoneshaji wa bidhaa kwa mwaka huu? Kama ndio basi wakati umewadiaaaa!!!! Mtagi na mwenzako asiachwe msimu huu!!! Kwa Mwaka huuu hii ni KUBWA SANA 🔥💪🏽 Usikae mbali na page zetu 😎