@alkebulan_man1: #mbungetaifa #Tanzania #tanzaniantiktok🇹🇿 #nchiyangukwanza🇹🇿 #nchiyetufahariyetu

alkebulan_man1
alkebulan_man1
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 October 2025 14:21:03 GMT
91395
4947
136
978

Music

Download

Comments

ashiveta
habari zetu :
tuache uoga jamani tutoke kwa wingi
2025-10-27 20:33:32
57
666xxx666xxx1
666xxx666xxx1 :
Sasa alitegemea ukipanda mahindi utavuna maembe? Alivyoweka katiba hii 1977 ulitegemea Wananchi watakuwa wajasiri wakati umempa Rais mamlaka makubwa mno na bado eti hashitakiwi. Inaumizasana.
2025-10-28 02:33:57
44
joasonesmo
Kakaj :
Mzee utatekwa tulia 😄
2025-10-28 12:10:34
25
lightnessghitika
ly :
HUYU ALIKUWA BABA KWELI
2025-10-27 21:35:30
41
josephmitango
Jozee47 🏇 :
no reforms no election ✌️🇹🇿
2025-10-28 05:39:04
5
simbakitara4
simbakitara :
Genius
2025-10-27 15:14:56
7
liangaxiangs
Liang Axiangs :
tukutane 29 kama sisi ni waoga tutakua tumelogwa
2025-10-27 22:59:40
9
manager_weston
Weston-D :
Baba kama baba❤
2025-10-27 22:44:21
6
ancolp1
Ancol 🅿️ :
ulivyotunyima elimu bora ulitegemea nini?
2025-10-29 00:07:01
8
user18154867742421
user18154867742421 :
Geniux ready xleep well 😭kweli kabixa
2025-10-28 04:03:50
5
fredobeden
fredobeden :
Watu wanaogopa Hadi vivuli vyao
2025-10-28 04:39:37
5
peter.jackson.yot
Peter Jackson Yotham :
Huyu Mzee alitosha sana kuitwa baba wa Taifa.
2025-10-28 08:36:18
11
evaristkilawe2
jackson :
huyu ndio kiongozi mzr
2025-10-27 23:45:18
8
richiswaioficial
RICHI OF JUGE :
jamani kesho tutoke kwa wingi tuache uoga
2025-10-28 09:08:54
4
ngukuwamidundo
Nguku Wa Midundo :
ukweli mtupu!, R.I.P Dady!🥰🥰
2025-10-28 05:06:03
5
user32152182493970
chid :
we ndo uliwauza watanzania weewe
2025-10-28 10:37:26
3
jaydark3191
3191 VIATU NA NGUO ZA WATOTO :
katiba mzee wangu ndio ulipo haribu hapo katiba ya ccm ndio inatufanya kuwa waoga polisi na raisi wako juu ya kila kitu
2025-10-28 06:22:33
5
ngwele40
ngwele :
akili nyingi sana huyu mzee
2025-11-10 20:40:10
1
kulwa9519
user3022766501115 :
tutakiwasha baba
2025-10-28 03:58:23
4
mnyantunzu
Davs :
sometimes we have price to pay,
2025-10-27 22:38:07
3
user5227312203251
user5227312203251 :
Duniani Kuna tareh mbili kuzaliwa na kufa
2025-10-28 06:49:45
3
aludomakori
Aludo Makori :
sasa hivi akina Polepole wakistaafu eanaonekana easaliri
2025-10-28 02:37:30
4
ed_carter_mombasa
Carter👑 :
Mzee alikua mbele ya muda
2025-10-28 05:31:18
4
andrew.tete96
asake :
we endelea kuongea watakuteka
2025-10-28 05:10:15
3
themoneymantz1
The money man Tz :
aise atal kila kitu aliua kabx
2025-10-28 07:17:49
3
To see more videos from user @alkebulan_man1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About