@vero.health1: 🚹 “Nguvu za kiume sio bahati — ni matunzo ya mwili wako kila siku!” 💪🔥 ✅ VYAKULA VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME 1️⃣ Mayai – Huongeza homoni za kiume (Testosterone) 2️⃣ Samaki wenye mafuta (Sardines, Salmon) – Huongeza mzunguko wa damu sehemu za siri 3️⃣ Karanga na Almonds – Huongeza nguvu na mbegu za kiume 4️⃣ Avocado – Husaidia kuongeza hamu ya tendo na stamina 5️⃣ Mbegu za maboga (Pumpkin seeds) – Zina Zinc nyingi kwa afya ya uzazi 6️⃣ Spinachi na Sukuma wiki – Hufungua mishipa ya damu > kusimamisha vizuri 7️⃣ Ndizi – Huongeza stamina na nguvu mwilini 8️⃣ Tangawizi & vitunguu saumu – Huchochea mzunguko wa damu 9️⃣ Chokleti nyeusi – Huboresha hisia na msisimko 👉 Vidokezo vya ziada ✔ Kula vyakula hivi mara kwa mara ✔ Fanya mazoezi ✔ Punguza pombe na sigara ✔ Epuka msongo wa mawazo WhatsApp/Call +255626-87-8093 #tanzaniatiktok #health #fyp #wanaume #ushauriwaafya #man #kenyantiktok🇰🇪 #tiba #ugandatiktok #pageforyou #viral #