@bbcnewsswahili: Hali ilivyo katika eneo la Kimara Kibo, umbali wa kati ya Ubungo na Kimara, wakati huu wa uchaguzi mkuu unaoendelea Tanzania. - Maandamano haya yanayoshuhudiwa ni sehemu ya mwitikio wa mitandaoni wa makundi ya wanaharakati na vijana wakitaka mageuzi zaidi ya kisiasa nchini Tanzania. - - - #tanzania #uchaguzimkuu2025 #bbcswahili #foryou
bbcnewsswahili
Region: TZ
Wednesday 29 October 2025 07:46:49 GMT
Music
Download
Comments
Pashmina :
Wangapi leo hawaendi kupiga kura wapo nyumbani wamelala
2025-10-29 07:54:27
2268
Deeh🦋❤️🔥 :
tunaoandamana kwenye simu tujuane😂😂
2025-10-29 07:52:07
2045
mr nobody :
sasa huyu ni Larry madowo wao
2025-10-29 08:17:22
2727
MALONE :
Larry madowo wa lipa mdogo mdogo
2025-10-29 11:35:00
893
shoo :
does it mean the work of police in Africa is to defend dictatorships
2025-10-29 09:48:30
274
Msonjo mjanja :
Ni teargas unaita Mabomu ya machozi😂
2025-10-29 10:52:28
404
Humble :
Africa is in election chaos untill 2027 waiting for the grand finale in kenya🤣🤣
2025-10-29 11:46:49
330
arteta :
hii ndio maandamano ya Tz😂😂😂
2025-10-29 08:18:53
602
sharkstarsswimingclub 🦈 ✨ 🦈 :
kwani hizi teargas za tz hazina nguvu😂😂zinatoa moshi kama sigara😂😂
2025-10-29 09:10:25
217
𝒩𝒿𝑜𝑜𝓀𝑒𝓎 :
Viva Tanzania, power to the people 🇹🇿
2025-10-29 10:32:32
89
:
Larry Madowo❌
Rally Mandondo✅
2025-10-29 15:06:10
49
Vivian solo :
eti mabomu ya machozi😅
2025-10-29 11:38:36
36
Leyla 🌸 :
tunaoandamana tukiwa oman tujuane free wi-fi 🤣🤣😂😂😂😂 kwisha enyewe 🤣😂😂
2025-10-29 09:16:07
18
🌹Tabby🦋Tiffany /Maa 🩷Tt💙📌 :
wamekutana na nguvu ya police 😂💔
2025-10-29 12:05:41
8
Ze Biz :
Kuliko kufa na ukimwi bora nife ajili ya inchi yangu
2025-10-29 08:28:33
30
kenny kenny :
Muendelee na game Finals ziko kenya 2027.....
2025-10-29 13:05:49
12
Coco :
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
TANZANIA YETU
SULUHU 🐸🇹🇿 must GO
2025-10-29 14:43:20
7
Mr brown :
kiswahili sanifu ni vitoa machozi what are you reporting 🤣🤣🤣
2025-10-29 13:37:22
8
S.A.A.Y.A :
Tear gas inaitwa mabomu y machozi
2025-10-29 18:37:59
6
Raphaelly099 :
Huyu sasa ni gatete njoronge wa huko,,,kweli you have a long way to go🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-29 08:24:08
46
Maua :
Nimepita Mwanza na Geita vituoni wasimamizi wako nje wanaota jua tu😂😂😂
2025-10-29 08:22:46
176
Beauty bloom :
Sogea mbele me sioni vzr bhana😁
2025-10-29 08:18:57
20
Playboizazox :
Larry Madawa
2025-10-29 13:40:08
11
Blaze.esq :
Huyu ni muoga aje😆
2025-10-29 11:36:58
8
Salvin :
Tanzania mkuje benchmarking ya maandamano Kenya 🇰🇪lkn mmejaribu 🇹🇿
2025-10-29 09:36:58
5
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.