my mum huwa ananiambia huku nyumbani pia kimeumana,just fight like a soldier
2025-10-31 22:16:12
264
Rinah Audrey :
My grandma🥺🥺
2025-10-31 19:43:22
38
Levian🌺 :
if ur mother can tell u that shukuru Mungu sana
2025-11-01 07:40:04
43
Sofia Mohammed🥰💉💊 :
my mom alisema wherever you are make sure uko na fare inakurudisha home coz nothing is promised 😩😁
2025-11-01 07:45:16
28
Brianna :
Wangu alisema come back home, nikikuskia kwa uyo mwanaume tena nitakutoa uko mimi mwenyewe na kama ni mtoto amakuweka uko niletee nitakaa na yeye 🥰.May God give that woman long and Healthy life ❤️❤️.
2025-11-01 06:01:57
62
Sincerely devoted :
heri nyinyi mko na nyumbani🥺
2025-11-01 03:16:59
5
aisha maalim :
heri nyinyi mi naambiwa kaa juu ukikuja tutakla nini
2025-10-31 21:55:06
2
Quinter..A❤️♥️ :
na sis wenye atuna ata shosh 😞
2025-10-31 21:31:42
11
Jully Makoha :
Na kuna sisi atuna wa kulilia? God usiwai tuacha
2025-11-01 06:58:17
4
iconic :
wenye tuko nao lakini tunajua vizuri sana hatuwezi skia such words tukae wapi
2025-11-01 07:10:06
32
bona :
😭😭😭😹homa kidogo unaskia kuja nyumbani nikupee miti shamba
2025-11-01 02:28:09
18
🦋lizzfrank❤️ :
Heri nyinyi wangu anasema yeye ndio atakuja
2025-11-01 05:04:10
4
pope :
fr bless you Ma , unakaa tu hivi mpesa confirmed ,unaambiwa panda gari ya asubuhi mapema
2025-11-02 17:38:43
3
mageto Junior :
wale wa 20/20muko wapi
2025-11-02 17:08:47
5
FayJames🏳️🇺🇳 :
my mum hawezi ambia mtu hivi she's like kai mutangiikara wega,,,,aiii
2025-11-01 06:27:38
1
🦋melalukholo🦋 :
kitu ilinidanganya nikaenda aliniambia maneno sijaai skia three years now hata hajui niko wapi! 😢toxic mother yeye!!
2025-11-01 05:42:16
4
p.o.v its mella24 :
afadhali nyinyi
2025-10-31 19:49:08
7
🫧🦚Sonia Shee🫧🦚 :
60/65 nalipa 👌💯
2025-11-02 05:40:38
0
dont care :
the best solution and advice ever
2025-10-31 21:42:03
5
Quin :
And it works 😭😭😭
2025-10-31 21:25:29
5
🦋Njee💦🥵 :
wangu alikataa kupumua😭😭💔💔💔
2025-11-01 01:01:42
4
Patience :
me ata sitakangi kuambia mamangu nikiwa na kashida weh 😁 naskianga to hauna fare nikutumie😂Kuja home sawa
2025-11-01 07:14:28
2
Princess Maya ❤️💃 :
my grandma everytime 🥰
2025-10-31 21:52:27
4
maestro :
na wenye hatuna wa kuambia anything
2025-11-01 06:37:51
0
joe :
wa 20/20
2025-11-01 05:28:14
2
To see more videos from user @el.njorroh, please go to the Tikwm
homepage.