@omidol_health_consultanc: Replying to @mamyjoh955 PID ni kifupi cha Pelvic Inflammatory Disease, Ni Ugonjwa wa Uambukizo wa bacteria kwenye Via vya Uzazi vya Ndani vya Mwanamke kama mfuko wa uzazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes), na ovari. SABABU KUU: PID husababishwa zaidi na bakteria wanaopanda kutoka ukeni au shingoni mwa kizazi hadi kwenye sehemu za ndani za uzazi. Mara nyingi hutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama: 1. Klamidia (Chlamydia trachomatis) 2. Gono (Neisseria gonorrhoeae) DALILI ZA PID: 1. Kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya ausio na harufu 2. Maumivu tumbo hasa chini 3. Maumivu wakati wa tendo la ndoa 4. Miwasho ukeni 5. Kutokwa damu isiyo ya kawaida nje ya siku za hedhi MADHARA YA PID: Kama haitatibiwa mapema, PID inaweza kusababisha: 1. Kujifunga kwa mirija ya uzazi (fallopian tubes) 2. Ugumba (kutopata ujauzito) 3. Maumivu ya kudumu tumboni 4. Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy) 5. Mimba kuharibika 6. Saratani ya shingo ya kizazi kwa usahuri na tiba sahihi ya mapema nitafute kwa namba +255654 35 79 71 #kiboko #pidawareness #pid #uzazikwamwanamke #kibokoyapid