@akidamwajamii: Chidi the forteller #pridecomesbeforefall #forteller #tanzania #tzartist #fypシ

Mwajamii(BEACHBOYASIYENAMZUNGU
Mwajamii(BEACHBOYASIYENAMZUNGU
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 31 October 2025 19:03:18 GMT
155978
7159
340
672

Music

Download

Comments

freysfiance
Geo's Fiance 🍂 :
Heri Jux alikua busy na wanigeria wake 😂
2025-11-03 15:47:44
91
aniehomedecor
anie home decor :
Huyu alikua mbele ya muda🙌🏻
2025-11-01 14:07:48
183
cutemaggie50
Cute Maggie :
Maji yaliyotuliaaaa yana kina kirefuuuuu😎
2025-11-03 17:02:56
62
reallife_dox
doxy :
MBELE YA MUDA🙌
2025-11-03 16:20:06
28
theresia.malima
Mama Og culture :
unaakili sana. wajifunze
2025-11-03 15:59:21
26
concealed_e
concealed :
Mwamba anaona mbali sana! 😂🙌
2025-11-03 14:29:35
95
bro_kits
Bro Kits :
Nay wa mitego amekua akiwaambia miaka mingi sana
2025-11-02 15:29:37
45
kipara383
kipara :
tulio Rudi Leo kwa hewa weka like hapa
2025-11-03 17:02:30
104
drjeffrey01
🅳🆁. 🅹🅴🅵🅵🆁🅴🆈 🇺🇸🇨🇦 :
Huyu jamaa akili zake zimerudi zote. One love
2025-11-01 09:09:23
61
mrpoj
MR_POJO :
Jamaaa aliona mbele kabla ya mda duh wasanii amkeniii
2025-11-03 16:18:17
31
veronica.joseph7
Veronica Joseph :
Akili mingi chid benz❤️❤
2025-11-03 14:52:25
21
shami20._
Fifa 0ld Cup :
Huyu Jamaa aliona mbali kiukweli.
2025-11-01 16:03:02
18
mrpixelarusha
Mr pixel Arusha📱 :
Huyu jamaa yupo mbele ya muda sanaa
2025-11-03 18:48:04
13
fionamchia
Fiona Mchia :
dahaaa yeye amechagua Amani ya Moy mung azidi kumuongoz
2025-11-01 17:14:31
11
bassimjjjkkkoo
Mjjjj :
Hii clip niliona kabla uchaguzi,Hapa Chidi aliongea👌
2025-11-02 15:08:16
12
chinchi.matai
Chinchi matai :
mjanja huyu born town akili nyingi na anaona mbali sana 🥰🥰🥰🥰 mungu aendelee kumsimamie
2025-11-03 05:15:13
12
jasminekitala
NUSRAN & 77 :
maneno huwa yanaishi sasa yametimia
2025-11-02 01:58:44
7
baby.nia87
Baby Nia :
Msicho jua chid aliwapa forml watu mapema na watu wametekereza yani da
2025-11-03 15:27:11
14
user3725650696113
NAIM🇹🇿🇴🇲 :
daaaa kaka uliongea kama ulijua kitakacho tokea 😭😭 🫡🫡
2025-11-02 13:45:16
10
user9055605257914
@yusrain :
uyu mwamba ni moto wakuotea mbali 🥰😂
2025-11-01 18:15:30
14
kapastar_
kapastar :
chid ana akili kubwa kuliko mimi
2025-11-03 17:09:57
9
swalehabdallah0
swalehabdallah :
mungu akuongoze chidibenz kakangu
2025-11-01 17:39:49
8
sweet.pozi
k-d :
chidi Benz..ana macho ya rohoni....MNGU akutunze kijana una macho ya kuona mbali..✅
2025-11-02 20:23:54
13
georgedavid2023
George David🏅 :
wazo la kuchoma ilipatikana huku kumbe😌
2025-11-03 15:48:37
12
fredasanyo
Creative Traders :
Huyu ndiye msanii wa kweli na mwenye busara
2025-11-02 09:45:52
11
To see more videos from user @akidamwajamii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About