@boilee_: hii kitu inaumiza sanaa🥺#boileetips #fyp #tiktoktanzania #viraltiktok #tiktokkenya

Boi Lee
Boi Lee
Open In TikTok:
Region: GB
Wednesday 05 November 2025 17:33:20 GMT
651518
53704
2379
4016

Music

Download

Comments

nipher712
Nipher ♥️ :
Mimi Nina mikosi kuhusu swala la muhusiano sijui Nina shida ganii😭😭
2025-11-07 12:31:29
332
kevohkesh1
kevohkesh :
naskia kuchukua kisu nijidunge 😭😭
2025-11-06 06:12:21
183
happfaniah
APPY❤️🔐 :
unamtumia sms Leo 😢anajib kesho mchan anasem hakushika cm 👀
2025-11-09 03:43:18
44
ms.lyperh
@𝓜𝓼.𝓵𝔂𝓹𝓮𝓻𝓱 :
km mtu akutafuti,ila status zangu anaview,ina maanisha nn?
2025-12-28 20:41:42
15
jopro86
jopros :
tulio single like hapa
2025-11-30 14:20:07
16
richardmkalawa158
p.swagz :
iyo kitu ndo napitia now alafu anadai anakupenda
2025-11-17 07:28:55
26
hajimajoka7
Aiem_Lisah🦋❤️ :
Nyie naumia mimi ana view tu status zangu na ana time na mimi ila mapenzi shikamoo😂😭😭
2025-11-22 07:13:56
35
anna2804
Anna beauty salon 😍 :
nimejikuta nalia sana maana mpaka nilipata vidonda vys tumbo😭😭😭😭😭😭
2025-11-07 05:19:03
25
clement_0789783627
~Clam♪ :
brother monakama inanihusu iyo mimi bro napitia katika wakat mgumu sana nataman sana naomba MUNGU Anipatie mke ambae pia nayeye anahitaji mwanaume
2025-11-26 20:07:12
7
mr_flex_99
Efendi :
Bro punguza ukali wa maneno maan kuna moment tukizifikiria zinaumiza sana 💔💔💔, ila upo sahihi sana kaka 💯
2025-11-05 23:47:00
47
gracelugembe
@gr@$$ :
Nan anipende jmn mana me napenda lkn me sipendwi 😭😭😭
2025-12-01 07:24:22
11
petigal01
🦋Petronila🦋 :
jameni mapenzi yanaumiza😭sioni hata nikipenda tena💔
2025-11-10 11:15:51
6
ukhtymuu8
Maryam❤️ :
my situation now ila nishazoe life must go on 🫡😊😊😍
2025-12-14 13:03:04
5
elie_stev
ELIE_STEV :
🥰🥰🥰🥰🥰 true sana kaka duh
2025-11-08 17:14:11
8
lydiapauline60
pretty Garden smiles❣️ :
Yan inaumaa sasa ivi naskia nife tu nipumzike😭💔siwezi bila yeye
2025-11-06 18:46:22
12
user6192399616107
Esther sandra❤❤ :
yaani natamani ngelike mara kumi ila duuh! ndo hivo.ila inauma sana
2025-11-07 21:46:11
6
iconboy94
Iconboy :
stuation ninayopitia kwasasa
2025-11-15 15:43:49
5
happy.molel6
pretty 💞🦋 :
@Babe🥰🇹🇿🇮🇳🇰🇪:ivi mnajuwa kwamba kunamuda naona Bora ata wale walio kufa wana amani kuliko Mimi nilie kuwa hai Usha fikia stage unaomba ata ufe kwasababu ata watu unao tegemea kuwa wao watakupa furaha ndiyo wanakuwa chanzo Cha maumivu yako
2025-11-09 06:09:02
7
asna__forever__young
asna__forever__young :
Naona kama hii video umeifanya kwa ajili yangu 🤦🏽‍♀️😭😭😭😭
2025-11-20 07:13:41
22
larrylucas51
Nyax :
ni kwakua tunawaacha ambao wanatupenda tunaenda kwa tunao wapenda
2025-11-23 18:04:55
5
jasey012
Jasey💔😩 :
My situation right now 😂😂😂😂
2025-11-07 12:02:46
5
sophyvibe23
@sophy23 :
🤣🤣🤣mm nachek tumaan unaempenda akupend anaekupenda umpend
2025-11-11 13:52:57
12
juma66316
juma :
kaka mbona nikama una nambia mimi? walai kuna mtu nilimpenda sana lkn mwishi wa siku aliniona mimi ni kama msumbufu kwake
2025-11-06 18:42:41
18
gratefulalways20
grateful :
kaka nijibu bas na mm leo mm kuna mtu naona kabisa hanipendi ila ananing'ang'ania sana anafuture na mimi jmn nijibuni leo nielewe 🥺🥺
2025-12-26 17:02:43
8
brilliant0439
brilliant :
nihali nnayoipitia kwa sas natam kuondoka lakini nikam nimefungwa inanimate sanàaaa💔💔😭😭
2025-11-06 17:04:54
9
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About