@m.c_maxjay001: #howtogoviraltips #creatorsearchinsights #fyp #foryourpages #trendingvideo

M.c Max Jay Kenya 🇰🇪
M.c Max Jay Kenya 🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 07 November 2025 04:59:49 GMT
1036038
126240
5042
50089

Music

Download

Comments

collinscaker
sugarman 🇰🇼🇰🇪 :
Mimi lazima ningetembea aste aste hata kukiwa na maandamano😂😂
2025-11-07 20:57:33
3282
musumbi66
Lucie🌸 :
mi nilikua nakidnapiwa kwa Insha zote😂💔
2025-11-07 12:43:02
5296
eventer22
eventers🦋 :
mimi watu wa sherehe walikuwa wanasafiri jongomeo pasi na nauli wala kauli😫😂
2025-11-07 18:09:23
3411
africanredneck
African redneck :
😂😂Kuna dame alikuwa anaandika nikanagisiwa mwalimu akamuliza kila wakati lazima unajisiwe
2025-11-07 16:38:49
3290
cmwachira
CMWachira :
kutekwa nyara ilikuwa ni must hadi kwa hotuba
2025-11-07 09:47:36
1460
kendii254g
purii🦋🦋 :
Mimi nayo gigantic man lazima ingenikimbiza Kwa Kila insha🤣🤣🤣
2025-11-07 14:23:40
1660
me.com413
🥰🥰🥰 :
mimi nae kwa insha yangu lazima ningependwa na barobaro mtanashati mwenye misuli tinginya ..sai nko na mkisii
2025-11-08 11:08:24
810
wambuimwangi447
wambui Mwangi :
heri wewe uliwapea ukimwi pekee.mimi ilikua ukimwi plus moja Kwa moja adi makaburini😂😂
2025-11-07 11:09:40
1543
peshyngatia2
peshyngatia ❣️ :
mm nayo singekosa kuenda Mombasa 😂😂😂🤣🤣🤣🤣na mpaka sai sijawai enda
2025-11-08 08:42:03
695
jazzy_wolf.25
Rayshan👑 :
na kukueka maskini 😂😂
2025-11-07 10:49:59
659
user8078282007670
danso :
wezi wakikuja home nilikuwa master kuliko mzae
2025-11-07 18:14:03
278
joelwaccc
Joel ccc :
mi nilikua naamshwa na nduru..na nikiamka napata jitu la miraba minne
2025-11-07 13:46:51
351
ruth_mia1
ruth_mia :
Kujitosa kwa anasa😭
2025-11-07 13:42:49
169
sanbenjah
Sage 👌 :
Mimi hadi kwa barua lazima kungekuwa na I went into the frogs kingdom 😂😂😂
2026-01-30 06:31:38
5
sonnbobo
Sonia Wambui :
Mimi nishai uliwa kwa insha yangu na nikaattend burial nikiwa ghost
2025-11-29 17:07:46
5
sofyeyn
chakachaka :
na lazima akufe😁
2025-11-08 04:30:26
5
slimm_54
$limm :
Mimi nilikuwa naoga na maji baridi shadidi kila siku mtondogoo 😂😂
2025-11-08 09:42:44
45
tomkaris
kamande :
mimi lazima kijana angejitosa kwa raha za dunia..avute bangi mpaka avunjike guu🤭🤣
2026-01-27 19:34:44
5
wwe.old.skul
WWE Old Skul :
Lazima ningekunywa staftahi ata kwa hotuba😂😂😂
2025-11-07 16:36:27
226
loinapatrick8
LP❣️❣️ 😺😺 :
zangu zote title zilikuwa;"The narrow escape"😂😂😂😂😂
2025-11-07 13:29:20
548
j.smonica
monica :
Mimi usiposkia la mwadhini nakufanya unaavya mimba kumi alafu mwisho nakuua😭😂Gudubai
2025-11-07 14:44:41
788
nicholas.kasyimi
nicholas kasyimi :
mimi nishawai pata ajali kwa resipe ,,,,
2025-11-09 14:31:56
295
minniemo3
Minnie Mo' :
Eh😆,! Bora tu umeonja pombe,ungefutwa kazi na nibi akuwache😆😆😆
2025-11-07 11:46:38
136
yokores4
k.m999 :
alipofika nairobi, akaingililia mihadarati na anasa kiholelaholela😅😅.....
2025-11-07 19:26:22
24
wangechi68
Kesh :
mimi nlikua naamka mapema kabla miyale ya jua ichomoke
2025-11-07 16:48:33
134
To see more videos from user @m.c_maxjay001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About