@manyandaafricanpowerr: Kama una mikosi fanya hivi

manyanda african power
manyanda african power
Open In TikTok:
Region: DE
Friday 07 November 2025 05:59:51 GMT
267582
15553
508
3196

Music

Download

Comments

linlitoh001
Mama lao :
Na wanavyonishuku mm ni mchawi je nikiwatokezea uchi na mkaa mwilini yarabii si watatoka mbio🤣🤣🤣
2025-11-13 12:41:53
29
mchosenone87
Chosen one :
kama upo kwenye nyumba za kupanga si utaonekana mchawi
2025-11-07 08:12:39
72
benina225
Benina🇨🇩🇫🇷🇨🇦 :
Mkaa ndiyo nini
2026-01-13 15:35:51
1
user5221881539502
Nathanael :
mkaa ndio nini
2025-11-07 12:16:18
5
duncangilberth
Duncan Gilberth :
nakushukuru sana ulichotaka kimefanikiwa... Haya sasa nimefumwa uchi na majirani nikioga now naitwa mwanga
2025-11-12 19:56:38
19
_janny517
janny :
mkaa ni nini?
2025-11-07 14:11:21
9
ocvan.net
@Ocs :
chumvi ya mawe ndo gani jamani
2025-11-07 19:03:44
11
missmaua7
Malikia 21 :
Na majirani zangu awawa au ? Sijui nacheka nni?
2025-11-09 18:34:31
12
mgwana.sana
mgwana sana :
mkaa n nini
2026-01-19 12:29:40
1
chollo5
msudishi :
bro mm nimehaso sana kwa waganga,lakini kila mganga akinipa dawa inadunda haifanyikazi ingali wakinambia ninanyota kali sana nipe ushauri
2025-12-09 11:54:34
4
neema.swai20
Neema Swai sugarlips ❤️ :
🤦 nishachoka mm liwalo na liwe
2025-11-18 11:18:47
9
ennijayson057
Enny jayson🇩🇪👑 :
wa kuishi mijini kazi tunayo
2025-12-26 15:30:36
6
ninalabeck
Ketty61 :
aki ngumu
2025-11-07 14:05:05
5
user5948270937085
EVA :
Wacha nijaribi hii🤣 ,na ni save hii video 🤣
2025-12-08 12:41:23
3
mylee30
Lee🥹❤️ :
jana kuna mzee anaenda mbagala nikampandisha gari za bunju atajua mwenyew 😏😏😏😏
2025-12-03 17:00:43
3
ahmadkamenya
Ahmad Kamenya :
vp ukioga kwa kila week inakuaje
2026-01-25 16:55:55
2
user765214366708shilla
Mamake Juma :
Bro naomba kufunguliwa maanake naota nmefungiwa
2025-11-07 14:36:32
5
usersalome12
salome :
Asante
2026-01-10 15:57:39
1
fanrasia1
erry-debby :
masharit n magumu
2026-01-10 15:29:10
1
evera0067
Evera :
Mungu akusimamie
2025-11-21 13:10:40
2
princekambale863
Prince Kambale :
bonsoir mukaaa ntiyo nini jameni
2025-11-09 16:37:06
2
boymabangy
boy mabangy :
bouwa
2025-12-17 08:19:15
1
emmanuelmotomoto
lil max :
unatisha sana kaka unatoa elem ambayo mtu haimchaij chochote big up sana bro
2025-12-28 10:46:27
1
khaliddalali.974
dala.li974 :
Jee! Utajuaje kama,,,,?
2025-12-11 10:41:25
1
big28188
Big popa :
ikitaka mdeni wako akullpe unafanyaje
2025-12-06 14:03:13
2
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About