@cafetuvjn7e: #cops #copsoftiktok #police #policeofficer #trending

cafecops
cafecops
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 08 November 2025 23:16:49 GMT
898
0
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @cafetuvjn7e, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

`UKIELEWA HIZI SHERIA 3 ZA SAIKOLOJIA, UTAELEWA KWA NINI BAADHI YA WATU WANATHAMINIWA, NA WENGINE WANAPUUZWA` © I'm Mr Razeck 1️⃣ The Law of Scarcity Vitu visivyopatikana kwa urahisi huonekana vya thamani zaidi. Ukionekana hupatikani kila mara, watu watakuchukulia kwa uzito zaidi. Kwa mujibu wa Robert Greene katika kitabu chake The 48 Laws of Power, kutumia sheria ya scarcity ni moja ya mbinu madhubuti ya kuongeza thamani yako. Anasema: *
`UKIELEWA HIZI SHERIA 3 ZA SAIKOLOJIA, UTAELEWA KWA NINI BAADHI YA WATU WANATHAMINIWA, NA WENGINE WANAPUUZWA` © I'm Mr Razeck 1️⃣ The Law of Scarcity Vitu visivyopatikana kwa urahisi huonekana vya thamani zaidi. Ukionekana hupatikani kila mara, watu watakuchukulia kwa uzito zaidi. Kwa mujibu wa Robert Greene katika kitabu chake The 48 Laws of Power, kutumia sheria ya scarcity ni moja ya mbinu madhubuti ya kuongeza thamani yako. Anasema: *"Too much circulation makes the price go down. The more you are seen and heard from, the more common you appear."* Hii ina maana kuwa ukiwa available sana, watu watakuzoea na kukuona wa kawaida tu na hiyo hukupunguzia mvuto na heshima yako. ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ 2️⃣ The Law of Effort Justification Watu huona kitu kina thamani zaidi wakikitesekea sana kukipata. 😂 Hapa nawapa code wadada: Usijitoe kirahisi sana, kadri mwanaume atakavyohangaika kukupata ndio thamani yako ya kukutunza itakuwa kubwa. Kisaikolojia watu huwa wanathamini zaidi kile walichokipata kwa juhudi kubwa au mateso, hata kama hakikuwa na thamani kubwa. Kwa maneno mengine naweza sema, Akili ya binadamu hupenda kuhalalisha mateso au juhudi kubwa alizopitia kwa kuamini kuwa kile alichokipata ni cha thamani kubwa. Hii ndiyo sababu watu huthamini sana vitu walivyopambania kuliko vile walivyopewa kwa urahisi au vya bure bure. Mfano hai 😂 Mtu anaweza kuendelea kuwa kwenye uhusiano mgumu kwa sababu tu amewekeza muda, hisia na nguvu nyingi, hata kama uhusiano huo hauna furaha tena wooooi 🥲 ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ 3️⃣ The Law of Attention Unachokilisha akili yako mara kwa mara, kinakuwa sehemu ya maisha yako. *"You become what you think."* Kile unachofikiria, kuangalia au kusikiliza mara kwa mara kinaathiri hisia zako na jinsi ya utendaji wa maamuzi yako. 👉 Choose wisely nini urusu kikae akilini Kwako 👈 ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ *"Leo nimewapa Law 3 bado zingine 5 hatari zaid."* Kama unataka nije nizelete nione reaction yako ili nijue kama mnahitaji. #mindset #millionviews

About