@saleemhemedy: Muimbaji Maulid Mohammed machapralla Wimbo wadhanifu kikundi cha nad ikhwan safaa kutoka zanzibar walipokwenda nchini ujerumani 1980

Saleem Hemedy
Saleem Hemedy
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 November 2025 08:49:07 GMT
55391
1339
80
768

Music

Download

Comments

naima.machapu
eyma_machapralah🥰 :
Allah ampe kauli thabit baba angu amsamehe makosa yke🙏
2025-11-10 12:47:18
26
eddieelijah8
eddieelijah8 :
Saa nane, time ya kwenda Chuoni 😁
2025-11-09 17:33:35
20
aboudahmed953
mafash-fash :
Allah a2jaalie mwisho mwema inshallah.. Allah amsameh makosa yke inshallah
2026-04-16 21:52:07
1
suad.abdalla.alba
Suad Abdalla Albarwani :
Allah Yarhamak. Maulidi Machaprala
2025-11-09 17:58:52
10
sabratamim
Chaby-satma :
Tokea mamangu hajaolewa wallah
2026-01-01 19:34:28
1
mrisho014
mamy :
Nakuomba uwiekee full hii tarab
2026-01-22 20:10:10
3
ahmedaltimamiy
Ahmed Altimamiy :
Old is gold 🥰
2025-11-09 10:57:16
5
mister.srk
Mister Srk :
Dah kwanin napenda hizi za kizamani kuliko zakisasa🤔 au hupati zambi hizi kuzisikiliza maana kaswida yaleo umeinama umeinuka umeokota kidude😁
2025-11-09 19:59:26
8
zenj009
Zinjibar :
Golden days of our beloved Zinjibar
2025-11-13 15:52:57
2
omarmbarouk472
Godogodo :
gold is gold
2025-11-09 09:22:59
7
beberu1982
BEBERU1982 :
OLD IS GOLD LOVE ZINJIBAR
2025-11-10 07:46:08
4
bumbaklut
lowlife :
ndio nini hii ?.....hawa hawaja msikia mcongo au ?
2025-11-11 23:06:22
1
shaaban.maulid.ali
Shaaban Maulid Aliy :
jmn mim nauliza tu hii Btv ilikuwa ni tv ya zanzibar ya enzi izo ama vp?
2025-11-09 12:07:01
2
bafanabafana001
slum :
Othman masudi othman hooooyeeee
2025-11-09 19:20:18
1
hish018
Hish :
nyimbo kama izo zikipigwa ujue mama yako anakutafuta uende chuoni .
2025-12-16 20:22:24
2
mwanaid.hamad0
chimwana_germany🇩🇪 :
inanikumbusha miaka 21iliyopita dah siku zinakwenda
2025-11-09 20:43:04
3
user51688162600581
Relaxo :
hakika wamefanya kazi yenye kuvutiya hadi sasa 🥰🥰
2025-11-09 18:55:09
5
haula.hajra
Haula Hajra :
nakmbk saa nane burudani mda wa chuoni
2025-11-10 02:20:37
2
kasongolasoud655
Dude khamisi Dude :
safi sana
2025-11-10 23:03:30
1
tumababy10
The done13 :
labda tabia yakeee❤️❤️❤️❤️
2025-11-11 13:24:39
1
sameera4524
Sameera :
hii nyimbo ilienda nawakati sana 💯🥰
2025-11-24 06:05:42
1
ysf1218
ysf :
Old is Gold🙏🏻
2025-11-09 21:28:26
1
fahmiamin833
fahmiamin833 :
ya Salam wakati
2025-11-09 19:42:10
1
amourtv3
amourtv3 :
ilikuwa 1987 /88
2025-11-09 15:15:55
1
To see more videos from user @saleemhemedy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About