@nomaseries: 🎭 Wanapocheka, dunia inasahau maumivu yao… Lakini nyuma ya vicheko hivyo, kuna siri nzito 😔 💔 Nawanda — miezi 6 bila tendo la ndoa, upweke umemgeuza mtu mwingine. Kwa tamaa ya kujisikia “hai” tena, ametuma picha za uchi kutafuta milioni 5 💰 Maumivu, tamaa na aibu vinamzidi nguvu… 😩 Ila NOMA ni NOMA! Bado siku ngapi kufika Ijumaa? 🔥🙌🏾 #NOMA #SeleSupro #AdamaKibaro #Amokfilms #nomaseries🔥🔥🔥🔥🔥🔥 📺 Ijumaa – Jumapili saa 1:00 usiku 🔁 3:00 usiku | 5:00 asubuhi | 12:00 jioni 📅 Jumatano saa 6:00 mchana – 8:00 mchana

nomaseries
nomaseries
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 November 2025 08:56:59 GMT
197701
10310
299
170

Music

Download

Comments

mamyhm2
Mrs mansoury 🥰 :
hii siku nilicheka jamani hadi saa hizi nikikumbuka na cheka peke yangu😂😂😂🙌
2025-11-10 10:15:54
73
nadyanana08
Nana🦋 :
Hii movie naipenda kuliko jua kali 😂
2025-11-12 07:54:56
24
zehrrakasamila303
zehrakasamila💅🏾 :
nawanda kwann aingize ulimi kwenye chupa
2025-11-10 16:18:51
19
saphia618
saphia🔐 :
Ila hemed kama mtu kwny hii filam sio yule wa miuno ya ududu
2026-01-19 10:59:22
28
rachelkizumberechogmail1
Humble girl, :
Mungu naomba umpe pesa mwanaume wangu naomba usiwahi kuluhusu zalau ndani yangu
2025-12-17 11:41:39
24
hijjabqueens
Hijjabqueen tailor Tz :
😂😂😂hiko kipande kimenifanya nimecheka hadi nimejamba mbele ya baba mkwe😂😂😂
2025-11-11 10:05:51
22
elizafaunamugeta
🌸UMMY A.E 💕🦋 :
😂😂💔Side kwani alikuwa anataka kuuliza nn?
2025-11-10 19:54:30
17
suleimanhamed812
suleimanhamed812 :
ila nawanda anajua
2025-12-30 20:07:31
8
usersanny202
salome Andrew :
Nampenda side mimi🤣🤣🤣
2026-01-31 02:14:15
3
muhammadshomari
Muhammad Shomari :
Hawa ndoo Wana sasa
2025-12-18 23:55:58
6
stephaniesylivanus
Stephanie Sylivanus :
sema mshkaji ana kipaji sana
2025-11-10 14:46:09
18
jessyhairstylish1
Jessyhairstylish1 :
Nikiona mwanaume. Analilia mapenz nafurah sana😂😂😂😂😂😂😂
2025-11-13 19:05:52
10
dr_ellie2
Dr.ellie🥰 :
Hemed mashauzi ndo kazeeka hiv jmn si wanasemaga hawazeeki
2025-11-25 09:56:43
5
elizadismasi
lizzy :
nimejikuta naumia japo sijui kma kweli ni maisha halisi🥹🥹🥹 wengine tuna wadogo zetu wa kiume mungu wajaalie wapate maisha ambayo hayatakuwa na dharau wapate kazi na pesa za kutunza familia zao🙏🙏🙏
2026-01-07 07:15:15
6
mwinda495
sammah lady :
jmn nyie mmegundua kama said anajizuia kcheko au niache ujinga🤣
2026-01-28 16:27:16
3
mariamduniatz
mariamduniatz :
mafundi wamekutana
2025-11-10 16:17:15
5
zainabu0045
zainabu :
Nawanda nakukubali sana unajua
2026-01-03 11:38:43
3
user1870126237592
BOYKA MNYAMA :
msenge anajua sana kuigiza mpaka nimejihisi nimimi
2025-11-11 04:28:19
5
fettysaidy8
fettysaidy8 :
naipenda hiii series inauhalisia na ushkaji wa kweriii
2025-11-13 08:56:55
7
200096unknown
Unknown :
Jamaa analia vibaya uyu 😂
2026-01-20 06:58:44
1
mungu.anajua3
Alahumma swalatan kamila🤲🏼 :
Move inaitwaje jaman
2025-11-14 06:21:55
4
jacquif26
Girl Alone 🦋💓 :
ila tuache utani mateso ya Nawanda ni magum
2026-01-04 13:53:05
3
182190ahr
I'm CZ!.. :
NOMA ikiisha, Nawanda apewe tuzo... anaumiza na anachekesha, the same time!
2025-12-19 07:02:11
4
halymer00
حليم🧕🍫❤️ :
Ufikie mahal hii noma iwe week nzima jmn 🤭
2026-01-04 06:44:23
2
evaeva27427
EvaEva❤️🇹🇿 :
ila nawanda anajua sana kuigiza mpk raha hlf wanapenda kumweka kwenye mapenzi ya hivi🥰
2026-01-12 19:53:24
2
To see more videos from user @nomaseries, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About