@loliondcoachofficial: Siyo kila siku tunapata nafasi ya kusema “asante.” Leo tumefanya hivyo kwa kumpa kiongozi wetu zawadi ndogo ya shukrani kwenye siku yake ya pekee ya kuzaliwa. Tunathamini hekima yake, moyo wake wa upendo, na uongozi wake wa mfano. Mungu azidi kumlinda na kumpa maisha marefu yenye furaha. ❤️ #trendingvideo #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryoupage #fypシ゚