nilichojifunza tujitahidi kujinenea mazuri bila kuangalia hali tuliyonayo
2025-11-12 19:19:29
504
BLOSSOM🌸 :
Tujifunze kujinenea mazuri
2025-11-12 09:05:12
283
golden avvy :
one day ntakuwa billionea companies will be with me God bless my destiny
2025-11-12 18:29:27
127
K VV :
hii ndio maana yaku kaa pembeni ya diamond Platinum.
2025-11-12 19:34:24
43
Engineer :
njia pekee ya mafanikio kumtanguliza mungu mbele
2025-11-13 03:18:41
74
Yaminh :
Tujitabilie memaa
2025-11-12 15:35:43
69
Queen Sheba Abesh :
the dream come true baba levo amini mungu yupo ukiombacho utapata
2025-11-12 15:15:13
36
Andrea Matai :
Kongole kwake
2025-11-12 13:51:47
10
@alvarez_47 :
jamaa anaishi kwenye ndoto zake
2025-11-12 21:27:47
5
myddy :
nakubali mafanikio ni IMAN❤️
2025-11-12 16:13:03
13
SIDE BOY :
Usimkatie mtu tamaa mtu si nyau
2025-11-12 20:13:32
10
93abdi :
ila jamaa anajitaidi na kwao wanampenda
2025-11-12 18:36:06
12
wiggo :
DAAAA KWELI MTU SIO NYAUU. ✌️✌️👊👊
2025-11-12 16:57:44
8
A :
tujitamkie mema na mwenyezi Mungu atatusikia amen🙏
2025-11-13 04:12:19
6
~Cornel🦋💟 :
Mungu jaman🥺🥺.... amjalie maisha na Furaha,,,Amein😭🥰🥰🥰
2025-11-12 17:49:34
6
Miss bellah🥰🥳 :
baba levo nilivyo sikia umekua mbunge niliumia sanaaah lkn baada ya kuona hii video Mungu anisamehe bule nenda kawawakilieshe vyema wana kigoma umetoka mbali Mnoo
2025-11-13 11:57:24
12
𝕊𝕚𝕝𝕖𝕟𝕥𝕎𝕠𝕝𝕗 :
Maneno huumba
2025-11-13 10:33:54
10
Salvatory Mchome,Esq :
Huyu jamaa ni ushuhuda
2025-11-15 08:03:04
3
𝑹𝒆𝒅𝒊𝒐 𝑴𝒃𝒂𝒐 :
Hii ndiyo nguvu ya kujinenea mazuri
2025-11-15 06:57:00
2
🧗 :
manifest those dreams
2025-11-13 08:22:44
3
Nicca🦋 :
Tujifunze kujip muda kwa iman bil kukta tamaa
2025-11-13 00:18:23
3
marti ⚽️⚽️⚽️⚽️🟦 :
our destiny is powerful
2025-11-14 14:50:19
1
habonimanasaidi8 :
Mambo mengine mpaka ujisemeyi❤️❤️
2025-11-13 03:00:22
1
Alfieyuga :
Hizo ni few moments bro💔
2025-11-12 20:51:35
4
subibaby :
huko mbeleni nitakua mfanya biashara mkubwa nchini hapa ishallah
2025-11-13 07:08:48
2
To see more videos from user @jzach74, please go to the Tikwm
homepage.