Bro lemme tell u this Allah test us we should have sabr the more u look 4 tiba and healing the more twaingia Kwa shirk Na yakua worst
2025-11-14 20:00:37
12
ummuyusra716 :
je hizo Aya ukimtafuta mtu akakusomea ni sawa??
2025-11-12 14:18:20
10
Kayla Natural Products :
baada yakuweka chumvi itachukua mda gani hadi kuona hizo alama ?
2025-11-14 01:13:02
1
vitamin c :
Bro sema ni aya za sura gani na namba ngapi itakua rahisi tu ata fungua mashafu atakariri plz
2025-11-12 16:57:43
10
Nusaiba🌺 :
Hiyo aya ya kwanza iko katika surah gani?
2025-11-12 13:36:17
2
kaninda :
hasad inamaanisha nini jamani
2025-12-08 23:08:00
1
tuma ♥️ :
natmn nifany ila ao wadudu wnaniogpesh 😅
2025-11-13 07:44:25
6
African queen8 :
dawa na dua ya mwizi ale iba jamani nyumbani naombeni 🥹
2025-12-16 06:17:01
1
Mr. Maha beyond borders 🌍 :
naomba mwenye kuzijua hizo aya aniandikie na azipange kwa namba 1 2 3 tafadhali
2025-11-28 10:17:14
0
Mrs bhai :
Allah akulipe kwa ulichotowa
2025-12-20 13:35:11
4
Kadija Lalidya :
apo kukariri itakua ngumu bora utuandikie ni sura ipi na aya ipi
2025-11-13 21:32:37
0
Mamaboys_254 :
Assalam Aleikum warhatullahi wabarakatuh..naomba tuandikie kwa kiswahili
2025-11-12 13:19:06
5
kuzzila From 🇹🇿 ✌بابا :
tunaomba? ututajie surat za aya unazo tufahamisha. asante
2026-01-22 19:39:27
1
aizan3 :
assalamualaikum waramatulahi wabarakatu sheikh audhubila Mimi sijasoma Dua hii ndio nayona sahi Masha Allah lakini naziona vitu hizi mjusi nyingi sana na chungu chungu na kuona Kila mara naona kama mtu anapita kama nachuguliwa kwa mlango siku nyingine nikipata popo kwa kabati ya nguo ya watoto asubui naenda kuwekwa nguo nikaona 😭😭😭audhubilahi minashetwani rajem😭😭
2025-11-13 06:12:56
5
user3770933505331 :
As/Alaykum ikiwa utaona hivo vitu Utafanya nini kuondoa matatizo?
2026-02-05 08:57:17
1
Halima Athman :
assalam aleikum
tafadhali naomba sura na namba za ayyat
2026-01-14 18:50:28
0
mamadamba :
na sasa kwa Sisi wakrito tusonaje salaa
2026-02-04 20:53:16
1
Mwasham Khery :
naomba tuandikie ni sura zipi na aya za ngap katika
2025-11-14 08:07:24
2
Maknahat :
Asalam Alykm Sheikh, naomba uniambie Ni sura ipi Na ni ayaa ya ngapi, naona itakua urahisi, shukran Wa jazakaAllahu kheir
2025-11-12 18:13:08
4
zahrina :
tuandikie hzo aya tafadhali
2025-11-13 19:34:00
0
Ummu Tasnm :
samahani sisimizi ni nini
2025-11-12 18:15:17
1
Nour chidy 😉 :
ayah ya mwisho imetoka suratul nun
2025-11-14 09:36:37
3
Mariam nour :
😳@aya yakwanza ipo kweny surat gani?
2025-11-21 11:58:36
1
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm
homepage.