eei....ouma made me love disco matanga a lot. Kuna siku tulitembea kutoka saa mbili hadi saa saba😂😂 yaani unaskia sauti ukidhani ni karibu kumbe ni mbali bana😂😂
Awuoro
2025-11-12 18:24:36
59
mourine :
I feel like tagging kajinga kengine 🤣
2025-11-12 18:09:54
20
Okewsakwa KE :
yaani these we're the real ohangla , 🥰 apana prince Indah na matakataka zake hapa
2025-11-14 08:53:07
71
Ten nill zero nill :
those days 2008 weeee when disco matanga is better than school
2025-11-14 16:40:06
27
wuodmwalimu :
hii song number 1 ilifanya nikapata KCPE 139 marks
2025-11-20 19:52:25
41
am 😍Liloh😘 :
na alienda wapi bi the way
2025-12-08 09:05:19
12
Atis 📖📖 :
kwanza hapo kwa lrine 😅😅😅
ningeacha food kwa meza nicheze
kwanza inje ikiwekwa kwa disco
matanga 🤣🤣 Yani testing 😅😅testing
2025-11-13 17:07:27
19
EmilyOwitti :
MAY HE CONTINUE RESTING IN PEACE 🙏🙏🙏🥰. I'VE ENJOYED THE MIX🥰🥰💃💃💃💃
2025-11-13 03:31:39
8
Okew Kager :
hii time umebeba panga for no reason😂😂
2025-11-13 21:25:04
8
Philip the car plug. :
hii ndio real ajawaa, wachana zile vitu prince indah atuchezea
2025-11-13 09:17:09
23
Kevin Ouma Andayi :
utamu wa hizi songs Kwa disco matanga ilikuwa kudance Na panga Kwa kiuno Na spotlight za kaida😅😅