@zebra_restaurant_: JINA:MDUARA WALI hii inakua na mchanganyiko wa Mandi, Pilau, Biryani na Wali Maua, unapewa na sauce ya Biryani, njegere za Bluband na Special Recipe, Zebra Sambaro, Salad, na White sauce yenye secret recipe moja matata sana: Packages zinakua kama ifuatavyo:- WATU 3/4: BEI 48,000/= Hii inakua na Kuku Mmoja wa Kisasa na Nyama ya Ng'ombe ya Kutosha kabisa watu 3/4 WATU 5/6: BEI 65,000/= Hii inakua na kuku mmoja wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 1, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 WATU 5/6: BEI 75,000/= inakua na kuku mmoja wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 1, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 WATU 8/10: BEI 95,000 inakua na kuku wawili wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 2 na vipaja vya kuku/Drumsticks 10. WATU 8/10: BEI 115,000/= inakua na kuku wawili wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 2 na vipaja vya kuku/Drumsticks 10 RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMISI,IJUMAA,JUMAMOSI, JUMAPILI KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 3 USIKU, DELIVERY:Gharama za usafiri ni juu ya mteja na pia utalipia sinia sh 5,000 kwa ajili ya take away package) KUWEKA ODA TAFADHALI:- PIGA 0688 151783 PIGA 0658722393 KWA DELIVERY PIGA: 0764 689647 WHATSAPP 0688 151783 TUNAPATIKA KINONDONI BIAFRA, "MTAA WA ATLAS ROAD"... Kwa BOLT, UBER au GOOGLE MAPS andika "ZEBRA RESTAURANT DSM", NAMBA ZA SIMU ZIPO KWENYE BIO YA PAGE YETU HII.
ZEBRA RESTAURANT
Region: TZ
Thursday 13 November 2025 12:40:23 GMT
Music
Download
Comments
as_Kelly🐬🐬 :
vijambio vya kuku viko lelele😂😂
2026-02-06 21:25:22
5
Noriana De cute🪷🧸 :
Namba jamn 🤣🤣🤣🤣
2026-01-16 14:44:19
2
@💦Aysel 💦 :
jamni natamqnigi kufanyiwaga derived lakn Swezagi nisaidieni
2026-02-11 11:36:25
0
MAYRAFRANK :
wamegundua wa bongo tunapenda kula
2026-02-09 16:27:31
0
Sophia Michael :
Mwanza mpo sehemu gani.?
2025-12-28 09:15:34
2
Glory Mwakalila :
Bei tafadhali
2026-01-14 16:27:41
1
Amjad :
mpo wapi
2026-01-25 13:54:25
0
D.I.Z.K.O.B.A,,4️⃣👊 :
bei shingapi
2025-12-28 08:42:16
0
n@kle :
Naomba mje tanga tafadhal
2026-01-09 06:46:48
4
Royal sister :
hakuna kisinia kitamu zaidi ya hiki👇
2026-02-04 14:15:42
1
Bad.panther :
mbeya mnapatikana wap
2026-01-17 16:06:37
1
mrs m.x ♥️ :
namba please
2026-01-11 07:59:37
0
chefrashid256 :
chicken looks dehydrated
2025-12-25 14:37:34
2
Tunu :
bei
2026-07-13 13:21:38
0
🌸🌹joyheart🌺🌸 :
apa nakula nyam tuu natulia😅
2025-12-28 12:03:21
4
FAHAD 🦺 :
Bola kitambi ila sio vidonda vya tumbon 😏
2026-01-01 07:35:04
1
mguna collection :
mbn hamjib comment za watu asa tunazipataje
2026-01-02 14:57:49
1
saby😍😍 :
jmn tawi len la aruxh liko wap
2025-12-17 08:06:01
0
getruda 0g :
bei gani sasa
2026-02-08 20:38:27
0
Athumani Athumani :
mtu mmoja shilling ngap
2026-01-28 08:05:02
0
dullahmbabe617 :
2ma nmb apo
2026-03-14 09:03:55
0
mariadinaraphael :
à⅖a
2026-03-25 13:42:40
0
Dee♈️🔥 :
Shiling ngapi bila ivo vim…kund🥺
2026-02-04 08:04:21
0
🦋Mrs🦋🌺 :
namb zenu jaman
2026-02-09 13:33:30
0
nisti Charles :
kama icho bei gani
2025-12-27 11:27:28
0
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm
homepage.