@lilyanapika: Mahitaji Maziwa fresh lita 1 Maziwa matamu (condensed milk) nusu kopo Maziwa ya unga nusu kikombe CMC (kilainishi) kijiko 1 kidogo (gram 2) Cocoa powder robo kikombe Whipping cream kikombe 1 Darasa linaanza Tarehe 24/11 Ni Master Class ya kujifunza kutengeneza Ice cream za biashara bila kutumia mashine aina 24 tofauti ambazo ni Aina 8 tofauti za Barafu za biashara Aina 8 tofauti za Ice cream za vikopo (kama za Azam) Aina 8 tofauti za chostiki/lambalamba Ada ya Mafunzo ni sh 35,000 Kulipia Lipa Namba: 56709571 Jina: LILYANAPIKA Mtandao: M-PESA Baada ya kulipia tuma screenshot ya muamala wako WhatsApp 0718553999

Lilyanapika
Lilyanapika
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 November 2025 16:18:17 GMT
198726
3650
41
822

Music

Download

Comments

user11181013209423
Rahma :
cmc ndo nini
2025-11-13 18:23:07
6
valentineflorahmi
Vall Vall :
Mia tano ya Kenya ama Tanzania?
2026-02-07 06:56:40
1
valevgpvfm
edli :
can u please show as a picture of CMC for those hatuko tz
2025-11-15 16:06:22
0
nasrashabbani1
Nasra Shabani :
Maziwa mazito ni lazima
2025-11-14 13:17:09
1
binabeid11
𝗕𝗶𝗻 𝗔𝗯𝗲𝘆𝗱 :
bei ya jumla ni bei gani
2026-01-11 15:07:55
0
zamhouseofcake00
zamhouseofcake :
mbona hujaweka sukari madam
2025-11-16 07:10:36
0
mkaratiiymussa
Mkaratiiy Mussa :
dada cmc ndo nn
2025-11-13 18:08:53
1
anna.kyungai
Anna Kyungai :
nisamee jamani nauliza weeping sjui nimesikia apo ya maji ndo ipi dear siijui jamani
2026-03-10 12:37:37
0
estertumsifu
estertumsifu :
CMC NDO NN MADAMU WANGU SAMAHANI👏
2026-03-14 16:29:32
0
zizahbakery
zizahbakery :
CMC ele ya kutengenezea foundant
2025-11-16 12:50:43
1
marykairu
user6203063335224 :
cmc ni nini mum
2026-02-05 16:21:38
0
_otee_collection
OTEE_COLLECTION | :
nahitaji ulizotengeneza 10 napataje dada
2025-12-13 16:20:29
0
rehemaaugust865
RehemaAugust865 :
Mbna sauti kama mama chanja🤭
2025-11-16 12:06:28
0
officialjawaa_tz
My love❤️ :
mi nimependa uo msisitizo wa iyo bei
2025-11-14 09:49:15
1
forthdimension3
Necoy :
CMC ni nini?
2025-11-14 19:53:50
0
official_kisauti
Official_kisauti :
Me nikitaka hizo ulizotengeneza
2025-11-15 13:10:33
0
beautifulsharry3
Sherry 😍 beautiful :
mashallah 🥰🥰🥰
2025-11-13 17:45:20
0
rebbyrebbyk
Rebby :
Dada lily.. na iyo CMC inatumika kwenye nini na nini
2025-11-13 21:00:01
1
maimouna8346
Maimouna :
huwezi tumiya maziwa ya mtindi badala yamaziwa ya maji na unga?
2026-08-03 05:40:50
0
millen6565
millen🦋 :
👍👍👍
2025-11-15 15:41:54
1
m.a.d628
M.A.D :
🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
2026-01-22 11:58:52
0
smartjohnsteven
smartjohnsteven :
🥰
2026-01-14 10:45:21
0
tinttwinkle
TINT & TWINKLE :
@BintiHassani_TastyTreats
2026-01-10 14:27:45
0
user5921288847781
Queen baby 🥰 :
😋😋
2026-01-03 14:59:31
0
labonitascakes_
labonita :
👌👌👌👌
2025-11-14 12:41:15
0
To see more videos from user @lilyanapika, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About