Ila wazazibar hawapendi ugali sijui uliwakosea nini
2025-11-15 22:30:01
101
SaedGameZN :
Umetuakilisha vyema wazanzibar 🇹🇿❤️😂
2025-11-15 23:16:14
22
RoM :
mmh nyie mmelegea sana
2025-11-17 17:41:56
0
Give mbwilo🇹🇿 :
ugari sio chakula,tunakula tukiwa tumezidiwa kiuchumi
2025-11-16 03:41:37
108
manizo :
anatakiwa apewe ulinzi huyu 👍
2025-11-15 16:28:01
72
El rassady :
lkn point zake zinamashiko😂😂
2025-11-16 09:58:19
41
FREDAyo :
broo umesema ukweli kwasabau ata marekan maindi nichakula cha ng'ombe
2025-11-15 23:29:54
20
Maganiko_19 :
ujue kama Kuna kaukweli hivi😂
2025-11-15 15:39:35
19
Sharifa :
wewe sema hupendi ugari tu😂😂😂
2025-11-15 21:16:50
18
OZER BOY 🧿 :
ndio maan me napenda zangu ubwabwa na mahalage tena ulale😋
2025-11-15 20:43:36
18
Bahsany :
sisi wazenji ugali tunaita chakula Cha kitwana😂
2025-11-16 19:55:29
11
Isack Ngando :
ugari unapigwa vita 😂😂😂😂😂
2025-11-16 02:53:39
8
miggo :
bola uwaambie ukwer
2025-11-15 05:32:24
7
Mercedes maresa :
kaongea kweli tena ugali haulet nguv
2025-11-16 03:24:51
7
ibn Abbas :
😁😁😁
Utapigwa na ugali wako wa dona
2025-11-16 11:02:33
7
Said yori :
kweri kabisa kuna wasenge mpaka leo nguvu zakiume awana
2025-11-16 18:04:05
4
Abeid :
kuanzia Leo nitakula chips,kuku na tende nipate nguvu
2025-11-16 04:00:42
3
MAMA ASHA🇹🇿 :
siwezi kuishi bila ugali usinishauri😂😂😂
2025-11-16 20:26:29
3
san kimwanya :
kamaunamkubali mungu like hap
2025-11-15 18:08:32
2
Ngosha :
bro mm ni msukuma ugar naupenda sana nakula kama break fast
2025-11-16 08:56:06
2
Ally Essien :
apo kwenye tanzania kufungwa na Morocco broo kazia kazia kama nakuskia ivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-12-18 02:35:17
2
ngatia :
huyu ni AT🤣
2025-11-16 09:24:30
2
Sky Wa Máasai🇹🇿 :
maskini tu wanajifariji 😁ila Amna lolote
2025-11-15 20:17:50
2
festo D :
nguvu zaugali nizakulimia t 😂😂🤣🤣
2025-11-16 09:33:14
2
Gűŋ B :
Ugali kwanza ni kimiminika 😂😂😂 sema unakua umeganda
2025-11-18 09:59:40
2
odetha audax :
me nasemaga wanasem najishaua jmn ugari unatakiw utengwe jmn
2025-11-18 05:06:24
1
ᗰꅐꏂꋊꌦꏂꋊꉔℍ꒐ ꒻꒤ꋊ꒐𝕆ᖇ :
Kinachokaa hata siku tatu bila kuchacha hicho si chakula.. chakula hata bacteria hawakitaki 😹😹😹💔
2025-11-17 01:34:45
1
demiangel :
Unaludi mtaani unakuta m2 kapika ugali na kabichi😂
2025-11-18 08:45:58
1
Faa097 :
ilo kweli mm nikila ugali sivuti ata nusu saa iyo njaa nnayo iyona km sijala
2025-11-16 06:13:46
1
Owen Bruce 😎 :
Google uki search sembe unaletewa farasi
2025-11-17 10:20:23
1
sambosa :
wala messi na ronaldo 🤣 hawali hiii mawe
2025-11-16 05:18:57
1
😎Last king🤴 :
bora uwambie vichogo man wanatusimanga kwel
2025-11-21 14:12:14
1
PIKIPIKI MARKET :
😂😂😂 mje mnunue pikipiki
2025-11-22 21:38:06
1
MokiliArumerica 🇹🇿🇺🇸Safari :
kuna chipsi za mahindi, mikate ya mahindi, chapati za mahindi , Cake 🍰 za mahindi, tena hawapendi ngano, wanita gluten free, mahindi hayo, ugali ndio kila kitu , wewe hujui
2025-11-16 21:09:19
1
kijukuu cha mtume 🕋 :
😃😃😃sio inaji bana ni enej
2025-11-16 21:45:41
1
jeshi :
kwani ugali si ni mahindi yalio sagwa yale yale tu
2025-11-17 05:33:19
1
amedeus9_ :
watu wanataka kumpinga ila point za kupinga ndo hamna😂😂
2025-11-17 21:45:34
1
user698339674177 :
ugali ni makapi ya mahindi,hakuna kitu wanakula ugali kwakua hawana jengine shida na dhiki
2025-11-16 09:09:32
1
Wasafiri Tanzania :
nataka nimpinge ila najikuta sina points zakupinga. 😂😂
2025-11-17 18:46:18
1
Young father :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍
2025-11-16 17:10:08
1
BIG :
Nani kakwambia hakuna bondia Tz wa kumpiga Mayweather. Mambo haya siyo ya kuongea tu
2025-11-16 10:25:46
1
Ñåãh🦋💫💕 :
Wewe sema hutaki ugali bondia wa marekani anajulia wapi ugali 😅😅😅 kione
2025-11-16 10:28:20
1
Rommhsy :
Kama kuna ukwelk😂😂
2025-11-16 10:35:47
1
allysondo186 :
Sio marekani tu kaka Germany Georgia yan Europe yote hadi china wanakula mahindi we fanya tafiti
2025-11-17 16:11:36
1
Khalid Joho 🇰🇪 :
@Kirama Ali Joho @Fauz Khalid @mavura ayub @Yussufdon @Herleed Early 😂
2025-11-16 14:15:55
1
Juma Richard Okumu :
huyu jamaa ajawahi kula ugali wa mtama umechanganywa na muhogo
2025-11-16 11:27:24
1
John tz🇹🇿 :
Kwani ugali ninini au niache ujinga 🤔😂😂
2025-11-16 11:53:43
1
Cocomelon :
kabisaaa 😂😂😂
2025-11-16 12:43:37
1
E=mc² :
Rudi shule ujifunze types za vyakula na zinafanya Nini mwilini
2025-11-16 13:34:19
1
mahrez :
uyu apewe kec ya uhaini😂😂
2025-11-17 14:04:43
1
To see more videos from user @motivationsk0, please go to the Tikwm
homepage.