@nala37901: Replying to @zeyanah_04 Nala🐈 anajua kuringa na kudeka jamn, cha uvivu kangu😁

NaLa🐈
NaLa🐈
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 November 2025 03:33:29 GMT
54266
3217
95
47

Music

Download

Comments

jasweat
🌸jasweet🎀 :
😂😂nala kuna watu unawatia wivu wanasahau kama ww ni paka😂
2025-12-05 05:45:47
38
user6988591405736
junk :
nimlembo jaman
2026-01-27 17:28:04
2
salmasabury76
Sally :
mwache tuu adeke jamanii ndo mda wake huo😂🤣. ila nala karemboo mashaallah 🥰
2026-02-01 21:04:34
2
da.yu38
da yu :
jamani Nala ameitika kisauti chakimahaba jamani 😂😂😂😂😂
2025-11-15 14:35:15
25
prisence67
emmy :
usikute ndo mke wake huyo 🥰🥰🥰
2025-12-04 05:09:57
12
lastbornmii77
Mii❤💎🌹 :
natafta mapenzi ya zati kumbe anapewa nala😏
2025-12-07 23:00:43
8
user4501511215683
MADOLLAH :
APO ALIVYOAMKA ANASEMA HAYA NISHAAMKA UMERIDHIKA😂😂😂
2025-11-16 10:19:29
8
prettysuu7
prettysuu :
Akatafte nn kila kitu analetewa shoga angu mie😂😂😂
2025-11-15 10:23:11
8
aishwary284
Awash 💙💦 :
nala anavyo mashwaa na sauti ya mahaba ata me sijawah amshwaa ivo jmn 😢😢
2025-11-16 05:40:42
7
miriyam236
Miriyam :
😂😂😂😂😂😂😂Wallahi nyie mko vizuli mashaallah
2025-11-15 04:19:07
5
user6770134310034
Dhahabu the Gold :
uwe ukimfunika mwenzio
2025-11-15 03:57:38
5
user2548102075561
B🥰🥰 :
Akatafut n nn? jmn una mtakia mem kwel nala weye
2025-11-15 17:54:23
5
joylynwangari
Joylyn Wangari :
Nala living my life😂
2025-11-15 03:45:57
4
user1518265331908
Jembe /mama j j :
muache alala mwenzio
2025-11-15 07:33:32
4
mgmadrina
mg madrina :
ndo umuite mama sijapenda 😂
2025-11-16 10:13:34
4
maisalayasin
maisalayasin :
ana amshwa nala mim nipo natabasamu😂😂
2025-11-17 10:38:51
4
mumscott25
Sonnia :
tag me...Nala anipee kijana naye nitamlinda jamani
2025-11-15 12:04:21
4
lutifiya8
100 :
nala haswali uyo au
2025-11-15 05:20:27
4
ticyan07
Tisyan :
Yarabbi nala mkubwa Niko hapa😩💔 mungu nipe wa hivi bc
2025-11-30 21:45:45
4
rahmasanchoo
Ur favorite Ninoh💋 :
nalaa ana maringo.jmn kama baba ake anavoongea kwa mahaba😂
2025-11-24 13:16:14
4
suleyju
@suleyman khan :
aliyemtia mimba mjomba ang ajapatikan bado
2025-11-15 13:41:24
3
bublegum_255
🦋Buble gum🦋 :
mmh me ninawasiwasi na nala jmn😂
2025-12-01 22:00:28
3
r6kipepeo
minah kpepeo🦋 :
aya mapenzi angekua anaonyeshw mwanamke wallah asingechomoka
2025-12-07 03:39:07
3
moechesmalls
Smallz :
Imagine kuuamshwa hivi ...si sauti, si maneno, si kushikwa...eiiiii Nala is living the life.
2025-11-15 11:36:22
3
brigittekiza
Mrs brida :
yani nimependa iyo
2025-12-30 10:21:05
3
tumelibra
It’s tume🛍️ :
Hii saut ningeipata mm asee ningeuza dunia nzima harafu tubaki wawili tu mm na wewe 😂😂😂😂
2025-11-15 11:15:37
3
user1342246531934
user1342246531934 :
nataman niwe mama wa nala☺️
2026-01-03 06:29:30
3
farrymissago
Farry Missago :
sasa akatafute nn na baba ake upo😅😅
2025-11-26 15:31:02
2
ticyan07
Tisyan :
Bc wewe kakaaa hiyo mama inanivuruga 😩
2025-11-30 21:44:42
2
ms.cozyyy
ƙσȥçυσɠʅυ👑 :
the way u call her MAMA😊😊
2026-02-01 15:30:14
2
thuwaibahaji755
thuuobatane :
hivi ukiwa unaenda kazini huwa unamuacha na nani
2025-12-01 16:36:57
2
user9465682985472
user9465682985472 :
nala ni mzuri sana 😃😃😊😊😊❤️
2026-01-25 06:01:59
2
happyiddi
happyiddi :
Ila Nala mzur na anajua kudeka🥰
2026-01-06 21:03:57
2
pambeoutfit111
Pambe outfit🧿 :
Kumbe anajua kuitika 🙌🏾
2025-12-31 09:15:12
2
a.n.ally2
allynassor465 :
we huy nala sio dem wko kwel😂
2025-12-05 19:51:16
2
user17463724287392
scora@1234 :
asa narah anatafut nn jaman
2025-12-06 20:48:41
2
shay0.0.1
miss pretty💞💫 :
kwani hajifungui Nala ketu😩.
2025-11-25 06:56:23
2
sheis_judith_
Judith ♡🦒 :
Nala ana mimba huyu mimba changa zinasumbua😂
2025-11-15 08:31:20
2
irah17059
irah :
Nala kawazid wanawake wengi. Kwanza mumesikia sauti hio 😂😂
2025-11-19 10:09:07
2
user2975766053434
w@yn@ty :
jmni huyu yupo zenji aw daa km nilimuon sehem
2025-11-17 11:30:54
2
misspinky967
miss pinky💞💗💖💕💘 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-11-17 06:26:36
2
hazllah
🌸Hazllah🌸 :
jmn mi kinanichemka yaan nyau ndo unambembeleza kiasi hichoo looh..
2025-11-16 12:24:05
2
tmine07
Tylove🥰❤️‍🩹 :
😂😂😂apo nala katisha kaigiza uzuri 🤣🤣🤣
2025-11-15 20:19:05
2
msaid17_
KI DABI :
majukumu ya kutafuta
2025-11-15 15:24:47
2
kilahatuadua89
KILA HATUA DUA💥💥 :
Ana mimba wamsumbua
2025-11-15 04:59:07
1
cute.lady7590
cute lady :
🥰🥰🥰
2026-01-07 07:45:21
1
avelina.godfrey
Rinah🫦🫦 :
😳😳😳
2026-01-10 04:17:04
1
user57502840614
khadija :
jmn raaaaaaah
2026-01-23 04:44:58
1
appo6278
🖤💟APPO💛💟 :
😂😂😂
2025-11-15 07:08:35
1
user5571819029611
Angel :
muache Nala alale bn
2025-11-15 05:06:58
1
To see more videos from user @nala37901, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About