@easydon9official: #foryou #comedia #kenyantiktok🇰🇪 #viraltiktok #yppppppppppppppppppppppp @chiefgodlovebillionaire_ @Pipi Jojo official Tz

Easydon Official
Easydon Official
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 November 2025 11:03:01 GMT
1311142
35960
1507
2152

Music

Download

Comments

user23201081753445
puludens :
Tuliuokutwa na hiyo hali tujuane apa🤣🤣🤣
2025-11-17 06:57:39
1249
veee3768
veee🥰 :
najuwa haiwausi ila nimemmic mama angu mungu amlaze maaalipema🙏
2025-12-31 21:51:02
706
mideko_25
shàà mideko🦋🥰 :
Yan ni unajiongelesha Alf mama Wala hakujibu anakukata jicho hilo Hadi unaishiwa pawa ndan hapaingiliki ulikotoka haparudiki🙌
2026-01-06 11:35:19
168
mari....454
Mari@@....45 :
Unaaanz afu mam maa estaa alikuj kukuulizia
2026-01-05 04:19:24
82
frankmpombo499
Frank Mpombo :
kula kwanza iyo kauli sitoisahau....
2026-01-01 04:26:59
57
uiniffer
Niffer :
katafute mama yako mwingine aliyekuzaa naona tunalingana😆😆
2026-01-04 17:19:37
118
abhar2003
Mr.Chutta001 :
Waliyo tumwa dukan wakasema hamn akaenda mzazi akikute hii je imekukuta😂
2025-12-20 06:52:28
81
sboysela454
salumu3455 :
hakikisha kabla jua halijazama tafuta pakulala🤣😂😂
2025-11-17 23:47:42
93
user3050873800305
stella :
mamaangu anakuambia kaendelee kucheza kwani ume maliza
2026-01-01 18:29:50
68
faith.njagi4
faith njagi :
anakuitisha maji alafu anashika mkono instead of kikombe🥹😭💔💔
2025-12-30 19:51:20
28
christinajosepha3
tinajoss :
ulizani kazi zangu zinanishindaa eee kwatarifaa Yako nikitaka kukutega sasa, na Leo jua utakula ulikofanya kazi
2026-01-09 06:39:32
33
eliud.pastory
Eliud Pastory :
karbu baba unaanza kula au unaoga kwanza ukicheki kwenye Kona ya ukuta unaona bonge la muanzi alooooooo😀😀😀😀
2026-01-11 13:17:36
35
kahangwa097
kahangw@_ family🤝🤫 :
hapo ilkuw inanibidi nijifanye namssidia 🤣🤣
2026-01-31 06:43:48
8
grace.kisaka2
Grace Kisaka :
leo utalala nje labda kama sijakuzaa😂😂😂😂😂🙏
2026-01-11 20:57:02
25
johnthomas38722
Jaydon tz :
daah kumbe ni wazazi wote wanapiga nilijua ni mama yangu tu
2026-01-03 06:51:54
16
sarahkasekwa
Sarah amon :
kama anaosha vyombo akuamby ukamsogezee mwiko 😂😂 aloooo
2026-01-19 10:33:54
5
mohamedmsechu615
Mohammed Msechu :
tuliokuwa tunajipa kaz mbadala njoon hapa
2026-01-05 15:49:26
17
mwaixum0
BAKDONSO🏀🥷🫵🗽 :
daah tunao kumbuka hili na tunajikuta tuna mpenda sana mama tujuane
2026-01-06 16:06:50
18
nanamcute1
Nana mcute :
Haya boss kashaingia kamuuekeeni maji choon akaoge 🤣🤣🤣 nilichezea mijeled sana 😂😂😂
2025-11-17 08:31:56
141
waldeamohamed
Waldea Mohamed :
usiniangalie machoni sasa, ingia ndani ukaoge, mara paap mlango unabanwa! maamae😂😂
2025-11-16 17:50:39
147
mariammuddy
mamii :
mwanangu akikosea akiniona nmekasirika t anasema mama tumbo linaniuma
2026-01-17 07:41:49
11
rabahuabdallah
Rabahu Abdallah :
tunao ishia kusoma comment za wengine tujuane😁😁😊😊
2025-12-20 00:48:29
34
gekura0000
Gekura :
wengine tulikuwa tukiona hivyo tunaenda kwa bib kumsalimia maana kwa bibi ni jiran tyu😁😁😁
2025-11-30 20:08:45
128
5158121172149usergunboy
Gun boy :
utasikia naona humu ndani tumeolewa wawili
2026-01-13 11:17:41
6
christina.maga97
Christina maga :
mimi mama angu alikuwa akini amkia nikichelewa kumsalimia 🤣🤣🤣🤣
2025-11-16 17:43:19
180
To see more videos from user @easydon9official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About