@soulradiant0: 🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 | Sheikh Ponda Atia Shaka ‘Maridhiano ya Kitaifa’ 🇹🇿 Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, ameibuka hadharani leo Nov 15, 2025 akieleza wasiwasi mkubwa kuhusu dhamira ya kweli ya CCM na Serikali katika mchakato wa Maridhiano ya Kitaifa. Amesema hatua ya kwanza lazima iwe kila upande kukiri makosa yake, lakini anaona hakuna dalili kuwa CCM/Serikali iko tayari kufanya hivyo — hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya taasisi zinazolalamikiwa ndizo zinapewa pongezi na “salamu njema” kipindi hiki. Sheikh Ponda amesema bila ukweli na uwajibikaji wa pande zote, “maridhiano hayawezi kuwa ya kweli wala ya kudumu.” #BreakingNews #Tanzania #SheikhPonda #Maridhiano #CCM

WincieTv
WincieTv
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 15 November 2025 12:32:48 GMT
56306
2780
239
220

Music

Download

Comments

simba_meena
SIMBA_MEENA :
kuanzia leo huyu ndio mufti wetu wa Tanzania
2025-11-15 19:19:35
75
qutjulius
Dequtejully :
Mpenzi wangu Abdul Mrisho kama Sheikh wako ndo huyu basi nimekubali kusilim😂
2025-11-15 17:37:38
34
petrygunda
Carl Peters :
Wewe mzee Shekh Ponda ni Shekh wa Ukweli na unapenda Haki.
2025-11-15 16:56:50
55
user3511281995867
Feroni :
Kama itatokea hivyo basi katika hao wastafu tunaomba kikwete asiwepo kabisa...
2025-11-15 15:22:58
74
olopenina.ngulaaj
olepenina ngulaaolopenina@gmai :
tatiso kubwa sana shee wangu lakini marithiano iyo uongo Samia atokee2 atumutaki na CCM yao😂😂😂
2025-11-15 16:19:23
23
www.mbwehaadventures.com
Mbweha Adventures :
Shekh mwenye hekma .. mpenda haki sio wale njaa kali.. Allah akubariki sana
2025-11-15 18:18:53
9
emma_oldskool1
Emma old skool :
asalaam walaykuuum ndugu wakristo
2025-11-15 15:33:07
15
mobabe2
momobabe😍😘 :
Uyo ndo uwislam sasa
2025-11-15 15:06:51
12
giftedgirl71_tz
Nyakyusagirl71_tz🇹🇿 :
nauliza tu huyu shekhe msikiti wake uko wapi niende maana amenyooka sana hana kandokando tofauti na wale ❤️❤️❤️🥰🥰🥰
2025-11-15 17:34:05
5
usergio2gumrwn
user80828341955pawa :
kataba lazima na uchaguz uludiwe
2025-11-15 16:58:00
6
jacqssone
Jacqssone• :
Uyu mzee ndiyo alitakiw kuwa president
2025-11-15 19:35:53
5
samwely.laizer84
Samwely Laizer :
💪💪 ndo shee ss sio wale Wala ubwabwa
2025-11-15 17:02:09
5
chebtto
Edcleo :
hii inshu sio yenu hatutaki maridhiano hii ni ya Gez waachoeni wayamaliza msidandie gari Kwa mbele
2025-11-15 13:43:52
9
african.giant95
african giant 🙌🏻 :
akika shekh ponda unapepo yako
2025-11-15 16:14:50
7
user4819887726928
user4819887726928 :
Huna baya mzee wangu
2025-11-15 16:03:57
5
mercy_a87
Mercy :
MUNGU akutunze. maana sikuhizi wasema ukweli wanapotea
2025-11-15 17:11:08
5
user7742667268781
user7742667268781 :
shee munguu akurindeee🙏🙏🙏👍
2025-11-15 16:15:23
6
user1456617403548
user1456617403548 :
kutekwa pia
2025-11-15 13:10:14
5
jackson.japhet59
mascombiso45 :
kwa maneno yake samia yy ndie alituma wauajii
2025-11-15 13:53:47
6
theodoryarobogast
Oterohoteroh :
Wastafu sio Kikwete hapana
2025-11-15 17:25:02
5
khamis.ulamaa
ULAMAA.. :
Fact labisa sheikh Honda Mimgu akulinde na manaya na akujaalie umri Mrefu
2025-11-15 16:28:22
6
sparkstzgenz29102025d9
SOCIAL ENTREPRENEUR :
ACT wote wanafiki. Siyo wa kuwaamini hata kidogo
2025-11-15 13:38:29
5
sak333332
Suk :
SABABU KUBWA YA MAANDAMANO NI CHUKI ZA KIDINI NA UBAGUZI
2025-11-15 18:38:59
3
user7920079357608
CHIEF EBELA :
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡 sanamu lauyu mzee lijengewe mkoa gani?
2025-11-15 19:45:23
2
michaeljoel935
Jodie :
ukweli unaponya taifa tukae tuzungumze tujenge nchi
2025-11-16 15:00:28
2
To see more videos from user @soulradiant0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About