@msemakweli_macha: Wengi wanaokuja na madai ya kuwa vyakula vya Mafuta na protein kama Nyama Mayai samaki mafuta Kuwa vinanenepesha wengi wao huwa ni watumiaji wa Wanga sanaaa, mtu anakula nyama na pombe au nyama na chips au ugali na samaki na akinenepa anadhani ni nyama ndio imemnenepesha Aiseeh tuwe makini Sana na kila tunachokifanya na aina ya vyakula tunavyokula #msemakweliafyatips #kitambi #foryou #nyama #biriani

Macha Msemakweli
Macha Msemakweli
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 November 2025 08:51:53 GMT
16924
404
13
7

Music

Download

Comments

user8653094274515
sirigu :
huo msosi unapatikana wap mm staki ushaur wako
2025-11-16 15:13:39
5
cattie890
Cute__Rine🩵✨🌸 :
mara ooh unene wa asili ila vibonge kwa kujifariji😂😂
2026-01-29 09:06:16
0
olteshjackson1
OJ :
Kukwepa hili diko ni mtihani mgumu sana 😂
2025-11-16 09:40:55
3
mariamukwingwa
wakala mamu ❤️👀😏 :
kwaiy nyama hainenepesh kumbe
2025-11-17 02:26:45
1
eddychulbul_
Eddy Chulbul Shibulb :
🤣🤣🤣
2025-11-16 09:16:06
1
thekiris56
The Kiris :
eeh
2025-11-16 11:25:25
1
jibridmedia
Jibrid Media :
😁
2025-11-23 17:59:39
0
To see more videos from user @msemakweli_macha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About