@hawaronaldo45: Chai ya nazi😍♥️♥️ #creatorsearchinsights #fyp #foryou #foryoupage #fyppppppppppppppppppp

hawaronaldo45
hawaronaldo45
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 November 2025 14:25:20 GMT
1037436
37400
1285
7925

Music

Download

Comments

dzo_j_anord
dzo_j_anord :
Mke wangu asione hii. Ntaalisha mpaka figo🤣🤣🤣
2025-11-18 07:16:47
972
mbongomani
IMU :
Hii ndo ile mnaachana lakini bado unaenda kula kwake.
2025-11-16 23:34:05
763
kenie49
user1 :
watu wa coast nazi mnaeka kila mahali...😂😂😂
2025-11-16 18:04:03
222
user4742841451119
Myrac 106 # :
Bila shaka we ni mtanga ?
2025-11-16 15:09:52
125
.mr.h.and.s
☘️MSELA🍁SANA☘️ :
acha nirudi Tanga sasa nikanywe chai ya nazi mana uku wakamba wananilisha chai yarangi 😒😒😒😒
2025-11-17 10:40:13
45
victoryceo.1
God's plan :
Unabuy gas shingapi,the price of gas does not allow me to cook tea for an hour, 🇰🇪
2025-11-16 15:57:49
21
tonympangala
T 🧭🥊🥊 :
wanawake wa hivi ndo wakikuwekea maji ya kuoga ukirudi unanukia maandazi
2025-11-24 10:52:58
39
herlysh08
Zamu💋🦋 :
Always the best dear no one can beat you in cooking Mashaalah Allah akuepushe na hasad ❤️❤️❤️
2025-11-16 16:03:39
5
ms_dayyah
DayyahStore❤ :
Nitaharisha adi dhambii😁😁😁
2025-11-17 05:42:48
13
am____sean
A BOY FROM IROLE :
ukisikia nimekunywa chai nzito ndio hii 😂😂
2025-11-17 11:27:20
22
husnasondo
husna sondo :
kwa wale ambao ndio tumejua Leo chai ya Nazi tujuwane
2025-11-21 15:00:27
32
asiaali6900
asiaali6900 :
afadhali nishajua recipe yke mana niliambiwq kma sijui kupika chai ya nazi hanioiii😂😂😂ila wa Tanga Wana mamboo
2025-11-24 09:29:45
5
blessingske2
Barrack64✌️🫣⛎ :
ya nini kujitafutia kuharisha😁😁
2025-11-17 15:16:27
39
aisha_omar41
Ummu Jannat ❤️‍🔥💞💝💖 :
my wangu sina lakukupa ila kukuombea dua, Allah akuhifadhi habbty..Thanks for the recipe❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰 nakupenda hadi basi
2025-11-18 13:32:17
7
chicago0364
Chicago :
Kabla sijahalibu nikaachika kuna dawa ya kuweka tumbo sawa
2026-01-22 11:32:54
5
doreenmassawe3
Miss Doreen🌹 :
Hiii inabidii nitest mwenyewe kablaa sijaenda testia mtoto wa mtuu maana ataarisha mpaka maini😂😂😂😂😂
2026-01-06 13:41:06
9
jasrine459
jasrine459 :
ngoja niisave nikiolewa nimsababishie mtoto wa mamkwe 2mbo la kuhara😄😄
2025-11-17 20:01:12
9
mamuhssn
@Mamu🍂Hssn :
Kilicho nifanya nimalize hii video nihuu mziki😂😂😂😂 Pambe dada, ume tisha 👌❤
2025-11-17 12:06:47
9
its_pretty_ray4
itz_Prtty_Ryla💕😩🥺🌸 :
mbona yangu uwaga ni chungu 😩
2025-11-16 17:33:26
33
cutestlady27
𝐅𝐀𝐋𝐇𝐀𝐓𝐘 ❤️‍🔥 :
Vipi io nazi ya kupasua au ya kipakti kbla sijavuruga mambo 🥰
2025-11-16 20:24:31
5
roukhy01
Roukhy🤎 :
Kindly wapi Umenunua vikombe zako❤
2025-11-16 15:04:53
9
7awa63
7awa :
mm nilijuwa nazi tupu kumbe na maziwa ndio mpaka iwe chai
2025-11-17 13:58:27
8
rashboytz2
@BABA MALIK :
umepika vizur umearbu kuweka majn ya chai
2025-11-18 14:38:18
11
zainabumbonde570
zainabumbonde570 :
da Hawa nampikia mtt wa mtu ila jiandae uwe mwana sheria wang🤣🤣🤣
2026-03-02 14:05:08
0
tifa5944245724098
user5944245724098 :
hatari sana hyooo Zanzibar mojaa
2026-01-24 15:13:08
1
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About