@mayjune_collection: Silicone Pregnancy Belly Now available 3M@15k 6M @18k 9M @23k 📍Nairobi along Tom mboya MWALIMU CO-OP HSE 5TH FLOOR RM 506A which is next to Dynamic mall across Ambassaduer hotel, archives #siliconepregnancybelly #fakepregancy #mayjuneshapewears #mayjunecollection #nairobitiktokers
Navaa nkienda ushago this Dec... they'll be serving me nkiwa nimekaa tu😂😂😂😂
2025-11-17 17:21:11
4264
Tilly :
izi zifike Nigeria wamezidi na baloons 😌😂😂😂😂
2025-11-17 17:37:01
2727
Anne✨🦋🫶🏽💜💘 :
Hadi mimba mnauza🤣🤣🤣🤣
2025-11-17 19:36:49
803
kemuma :
ndio nimejua sasa😳 kumbe hii ndio Hannah bentah anavaa😩😂
2025-11-17 14:27:25
1225
Koshi koshi :
mtu anaeza zivaa kwa matako
2025-11-17 20:09:32
583
Mamou💞 :
for those asking: even mothers awaiting surrogacy and adoption privately, can wear this
2025-11-17 12:21:30
321
zetu tours :
my siz alikuja home akiwa amevaa hii mng yake akasahu kuvaa Mathe alishtukaje
2025-11-17 17:00:49
477
WangaBee :
tunahitaji watoto Sio mimba 😂😂😂😂😂😂
2025-11-17 14:13:15
198
smiley😊 :
ukona ya watu weusi
2025-12-24 18:27:11
13
gee :
hii kitu karibu niuliwe ushago na watu wa kijiji nlienda na mimba ya 9mnth kesho yake natembea na flat tummy nliskia nduru wamama walikua wamejaa kwa mahindi wengine na torch kwa choo kumulika kama nmetupa mtoto ndani
2025-11-17 17:36:33
46
MohamedrashidAbuna :
Every man should have a pregnancy test kit in his house.
2025-12-30 10:26:38
12
Serato :
Hii unavaa ukienda kuruka line
2025-12-25 06:35:54
6
Binti zawadi💖💖 :
hii ni ukola ndio mtu a show Ako na bol na Hana then afta that wanaenda kuiba watoi wawatu kaa wake magui
2025-11-18 05:35:13
9
mso babe :
sipangi line ya kutoa kasongo,navaa hii naenda kaa nimepitishwa line😂
2025-11-17 18:51:43
29
mwaruwa_smarty :
Yaani hadi mimba zinauzwa?
😳😳😳
2025-11-17 18:11:42
27
vibes on vibes❤️ :
hii labda nibuy nirukishwe line siku ya kupiga kura😂😂😂
2025-11-17 17:37:37
16
American Height 🧘🏿 :
hakuna ya watu weusi ama wakivaa lazima ipigwe kiwi 😁
2025-11-18 10:11:25
36
CEO Tshikoh M. :
Nakujia ya kwenda introduction kwa in-law Christmas siwezi kata vitunguu mimi😏
2025-11-17 20:35:54
5
Essy maina :
sasa hizi ni nini surely🤣🤣🤣
2025-11-17 12:16:34
108
kababa :
hakuna za wajaluo?
2025-11-19 09:28:51
42
ivy maina 🥰 :
ni za nini sio kwa ubaya
2025-11-17 12:12:18
13
ma muna :
hii navaa 2027 nikieda election...NO QUE😂
2025-11-18 07:01:44
6
To see more videos from user @mayjune_collection, please go to the Tikwm
homepage.