@abdulhafidh575: 🦂🐍

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 November 2025 12:58:54 GMT
991592
22406
622
2680

Music

Download

Comments

lilema_tv
Lilema_tv :
bado jitahidi sana kwenye nyoka umefeli mbali sana nge upo sahihi
2026-01-02 21:27:26
8
naeema0751
Naeema :
mim nimeota ninaokota hela nyingi sana naomba unifafanulie
2025-11-18 05:40:43
20
evelimamanye1
eve Limanye :
ngee ni nini
2025-11-20 07:24:52
2
toto.lakidigo
shanix22🫧🌝🎀🎧🔐 :
nakuota Mang,ombe makubwa makubwa
2025-11-17 15:18:52
26
004saraah
seramike🇰🇪🇸🇦🇧🇭 :
Mimi huota sana samaki 🤣🤣
2025-11-19 08:04:55
14
maryalpha103
mary alpha 270 :
je siafu
2025-12-10 00:09:49
4
user16969513822136
Patrick maroko :
nahitaji tiba sijapata ndoto miaka mingi sikumbuki ata
2025-12-21 13:45:43
2
user9293849375161
Hasana Mwanga :
je kuota nyoka amekung,ata
2026-01-01 20:17:25
3
aishunn4
Aishunn :
Je panya kukuingia kwenye tumbo
2026-02-07 22:47:26
0
aminaabdallah41
Minaaaah❤️ :
Mm niliota nyok mweusi kaingia tumbono🥹
2025-11-19 13:22:15
9
user4941420309377
💞Chafuj💞 :
Me namuota san malehem kaka ang
2025-12-31 08:32:38
2
khadijakhadina358
Khadija Khadina :
mi ustadh hua naota nyoka yuanidona kwa mguu au mkono
2025-11-17 13:12:46
17
aminaaminatah985
aminata :
nakuota vifo ndio nini
2025-11-22 17:21:43
6
shani.ramathani.s
mamuu :
Mimi nikilala naota chumba kizima kimejaa nyoka wa kijani Sina pakukanyaga
2025-11-29 15:32:24
5
aysanjunior
Aysanjr :
Marakwamara naota nyoka mweusi na wakijanii
2025-11-28 10:48:45
2
shayshuu2
q23344 :
mi ustadh naota nyoka mweusi amezunguka kitanda nilicholala muda mwengine naota ananifukuza hasa hasa naota nikiwa mja mzito
2025-11-17 13:34:30
5
user3123172798182
user3123172798182 :
mm nimeota nyoka wengi sana kila rangi wanifukuza inamana gani
2025-12-10 08:29:14
3
user6254757396838
Manssur Buana :
mimi niliota nyoka akitaka kungonga nduguyango
2026-01-04 15:16:25
3
user83519521262597
knowledge Tz :
Asalamu alekm mm niliota ety niko pembeni ya bahari alafu mbileyangu kulikua n nyoka anaye ng'aa inamaana gani
2026-02-12 19:34:49
1
muller07_2
Müller :
je kama umemuota nyoka wa rangi mchanganyiko nje ya nyumba yako baadae akakimbia !maana yake nn
2025-11-28 13:00:45
3
bv.gz2
ARMIN :
Aaaah tumempata shekhe yahaya mashallah Allah akujalie kilala kher
2025-11-17 13:30:48
3
user4337088135736
Joan joy :
kama imekukimbiza iyo nyoka nyeusi alafu nimekuma miguu inamanisha nni
2025-12-07 14:39:11
2
user10799966231913
hawa ibrahim :
ustazi nikiota nimeolowa
2026-01-01 09:59:51
1
fayraj27
Habibty🌹 :
Wallah Nikiaanza kufikiria uwadui nashindwa ata kuelewa nikwanini nafanyiwa uwadui wallah
2025-11-29 17:38:17
2
nanamooh025
Nana mooh~025 :
Kwa mwanamke ambaye hajaolewa kumuota nyoka wa dhahabu inamaana gn???
2026-01-02 19:14:02
2
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About