nyie mtafika mbali sana lakin kwenye maswala ya kukusanya mapato hapo rekebisheni mtu apokee hela zake kwa amani
2025-11-18 16:10:12
1
Ak 47 :
namba za simu nawapataje?
2026-05-27 11:58:33
1
AronApex :
nahangaika kwenye masuala ya malipo nipo huku mabibo dar
2026-01-31 08:28:29
1
jimmlay :
naomba kuuliza bajeti ndogo ya kuuza wifi ni sh ngapi ( vifaa)
2025-12-08 21:38:46
2
Isaac :
binafsi system nimeipenda lakin kwenye mamb ya malipo yangu hapo hapana, never hapo badilsheni aloh, afadhar niwe nawalipa kila mwez subscription yenu
2025-11-19 14:11:42
0
kelvinato022 :
kaka ii ndo software unayoisemea au
2026-01-15 20:57:10
0
life_with_carrie :
naomba msaada kuconnect na wifi ya airtel
2026-02-09 07:13:50
0
KasabilaX|Human Behavior&Facts :
ofisi yenu iko wapi
2026-01-27 06:43:23
0
KaancelikzadeX🌟⚡ :
mnafaidika nn na uwo mfumo wenu ety🥺
2026-03-27 21:24:03
0
eaglekid_05 :
ni lazima uwe na mikrotik na billing sytm?
2025-11-21 11:07:58
1
nouh :
sijaelewa
ila kama vile ni deal
2026-06-08 05:54:15
0
kingz_DEWZ💫💙 :
napajeee kaka
2026-04-02 14:01:39
0
badhuu_backup✅ :
naweza nika add mikrotik ngap
2025-11-18 16:11:17
0
• I_amVortex :
Distance Coverage ngapi Boss?
2025-11-24 20:46:56
0
paul bike life :
wateja wa mkoani mnatuokoaje
2026-06-17 07:42:13
0
GoldenKing84 :
mm nipo morogoro nawez kujiunga
2025-11-24 19:44:28
0
F&M NETWORK SERVICES :
hudum yenu ya kufnaya payment kwneye wifi nime ipenda lakini nini naitaji njia tatu kwenye wifi yangu local user, vocha na online payment kama ina wezekana maana makato ya kimtandao ni changamt kwa wateja kwneda kwa wakala kuweka hela na kuja kujiunga huduma
2026-05-17 10:19:37
0
Kim Yunjan 🥷 :
@Oscar G
2025-11-18 14:17:56
1
HeriSponta :
🥰
2026-01-17 14:35:29
0
Isaac :
@Nexustech
2025-11-19 14:12:29
0
INTERNET KIOSK :
@Fogo NetZone
2026-06-14 11:29:31
0
To see more videos from user @nexustechisra, please go to the Tikwm
homepage.