@dume_health.tz: DALILI ZA KORODANI KUVIMBA (SCROTAL SWELLING) 1. Kuvimba upande mmoja au zote mbili 2. Maumivu ya korodani (ya ghafla au taratibu) 3. Uzito au kutojisikia vizuri kwenye korodani 4. Homa na mwili kuhisi baridi 5. Kichefuchefu au kutapika (hasa kwa torsion) 6. Maumivu yanayoenda tumboni au kiunoni USHAURI WA HARAKA - Ukiona korodani imevimba ghafla na inauma sana — nenda hospitali haraka, inaweza kuwa torsion, na inahitaji matibabu ndani ya saa 6. - Epuka kubinya au kufanyia massage — huongeza madhara. - Va’a nguo za ndani laini na zenye kushikilia vizuri (supportive underwear). SULUHISHO (KULINGANA NA SABABU) 🔹 Maambukizi (Epididymitis / Orchitis): dawa za antibiotic, kupumzika, cold compress. 🔹 Hernia: upasuaji hutakiwa. 🔹 Torsion: upasuaji wa dharura. 🔹 Hydrocele / Varicocele: matibabu ya hospitali kutegemea ukubwa. Usijitibu bila vipimo, korodani ni sehemu nyeti sana. Kwa ushauri zaidi na huduma za wanaume: +255 758 179 598 @dumehealth.tz HASHTAGS #korodanikuivimba #afyayawanaume #dumehealth #prostatehealth #wanaumetujaliwe