@radio47_kenya: Diamond Platnumz kapendwa kupitiliza na mama mkwe! Mamake Zuchu alijitokeza na kumiminia Diamond Platnumz sifa sufufu akidai kuwa Diamond amelelewa vizuri, ana tabia nzuri na kila anapokuwa na mgogoro kati yake na Zuchu, yeye huwa upande wa Diamond tu. Wanamitandao wanafiki baada ya kutazama video hiyo ya Khadija Kopa wamedai huenda kuna mengi yamefichika katika uhusiano wao kwani si kawaida mama mkwe kumimina sifa kiasi hicho. #BillyNaMbaruk #HapaNdipo
Radio 47
Region: KE
Tuesday 18 November 2025 12:58:40 GMT
Music
Download
Comments
𝐌𝐫.𝐏 𝐅𝐚𝐜𝐭 𝐨𝐟 𝐋𝐢𝐟𝐞 :
wazanziba sio watu wa...😳😁😎
2025-11-18 17:43:52
17
MAN DK 47 :
diamond karogwa kitambo hamjui😂😂😂
2025-11-18 13:41:00
35
afro96beat :
Habari ni za Tanzania lakini location ni Kenya 😂
2025-11-19 10:13:10
37
sharifaSimba715 :
hivi bila kuongelea Tanzania hamuendi choon
2025-12-11 12:42:43
9
📌 Nelly ~~nyar busia📌 :
pale Tanzania 😂😂😂wambea wangu
2025-11-18 13:07:57
33
🥰❤️Sherry❤️🥰🦋 :
yani nkishafungua tiktok nakutana na..pale tanzaniaaaaa😅😅😅wajameni
2025-11-18 16:52:46
24
ABEDY006 +254🌴👑🌴🕊️ :
Kuna kitu kinalambwa na si glucose 🤣🤣🤣
2025-11-18 15:04:09
10
mbifile_01 :
nyie jamaa nawakubali sana bill na mwenzako big up sana
2026-02-04 06:37:36
1
leee...67 :
hii n radio ya wambea🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-11-18 14:08:37
17
kayt_styles💧 :
hii shilawadu ya KENYA😂😂
2025-11-18 16:12:42
12
Call me Capten™ :
😳😳😳tz bure kabisa
2025-11-18 13:12:56
7
Anne 2086 :
nikiwai pata kazi nataka partner kama mbaruk vibes tupu😊
2025-12-20 05:34:10
1
Fatuma Mohammed :
Habari zenu wambea🤣🤣🤣
2025-11-18 14:04:01
5
B.DOTO📌 tarimo🦋✨️🦋 :
umbea tuu yakwenu yamewashinda
2025-12-24 04:29:41
0
Ip man :
paleeee kenyaaa! kwani hamna kila siku tz
2026-02-03 08:54:03
1
Ysarah Amidu :
raha sana kupendwa na mama mkwe
2025-11-19 06:58:40
3
Luham Barbra :
Khadija kopa maslaaa
2025-11-19 10:19:48
8
Al-hyba :
wambea 😂 wenyewe
2025-11-18 19:40:20
4
Mahesh Babu :
zuchu ni mtoto wa sonko na sonko ndo anaprovide na akimwacha kibare😂😂😂
2025-11-18 13:07:12
12
Nevy💍🌹🇨🇦 :
❤❤❤10/10
2025-11-18 13:07:17
4
Brown junior 🇰🇪💯 :
akizaa anawachwa iyo ni masharti ya chama
2025-11-19 09:49:18
4
#@pamjones aka attotinyarkajul :
sioni baya
2025-11-18 13:14:53
4
safety the officer🇰🇪🇶🇦 :
mama mkwe haonewi haya
2025-11-18 16:36:21
4
aeshasaid952 :
Hamna adabu
2025-11-19 11:53:47
2
Ahmedou Morgan :
wanaume best kwa umbea.......😂😂😂😂 my favorite kipindi maskani
2025-12-30 09:08:55
1
To see more videos from user @radio47_kenya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.