@paza_sauti_media: Mamalaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema si vyema na ni kosa kisheria kufanyiwa 'wiring' ya umeme na fundi asiye na leseni ya EWURA "Kwasababu pia baada ya kufanya wiring huyu mtu ambaye analeseni ya EWURA anapaswa kujaza certificate 'cheti' ambacho atakuachia kopi yake. Maana yake hata siku ikitokea tatizo lolote kwenye wiring yako ni rahisi wewe mwenyewe kumtafuta fundi moja kwa moja lakini pia EWURA kama wadhibiti watakuwa na uwezo wa kumtrace fundi"