@vantan177: Hàn leo chấm ngắt hộp kẽm #mayhanmig #mayhanweldhome

Tân máy hàn 0828188555
Tân máy hàn 0828188555
Open In TikTok:
Region: VN
Thursday 20 November 2025 03:23:02 GMT
1041
32
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @vantan177, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

MZEE SAID KIBORE AFARIKI DUNIA Mzee Said Kibore ambaye alitamba katika clip mbalimbali za msanii Diameter kwa nyimbo ya #fala na nyingine nyingi amefariki dunia Agosti 22, 2026 Paza Sauti Media imezungumza na msanii Diameter kwa njia ya simu amesema bado anaendelea kubaini chanzo cha kifo chake, lakini kwa siku ya jana waliwasiliana alikuwa ni mzima. Mzee Said Kibore, mzee aliyepata umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania kupitia video fupi za nyimbo za msanii Diameter Pallet, amefariki dunia usiku wa kuamkia Agosti 22, 2026. Sababu rasmi ya kifo chake bado haijawekwa wazi huku taratibu za msiba zikiendelea. Mzee Said Kibore, mwenye asili ya mkoani Kigoma na mkazi wa Dar es Salaam, aligusa mioyo ya mamilioni ya watumiaji wa mitandao kama TikTok na Instagram mapema mwaka 2026. Alianza kuvuma baada ya kusambaa kwa video iliyomwonyesha akiimba kwa hisia kali na kutoa machozi wimbo wa
MZEE SAID KIBORE AFARIKI DUNIA Mzee Said Kibore ambaye alitamba katika clip mbalimbali za msanii Diameter kwa nyimbo ya #fala na nyingine nyingi amefariki dunia Agosti 22, 2026 Paza Sauti Media imezungumza na msanii Diameter kwa njia ya simu amesema bado anaendelea kubaini chanzo cha kifo chake, lakini kwa siku ya jana waliwasiliana alikuwa ni mzima. Mzee Said Kibore, mzee aliyepata umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania kupitia video fupi za nyimbo za msanii Diameter Pallet, amefariki dunia usiku wa kuamkia Agosti 22, 2026. Sababu rasmi ya kifo chake bado haijawekwa wazi huku taratibu za msiba zikiendelea. Mzee Said Kibore, mwenye asili ya mkoani Kigoma na mkazi wa Dar es Salaam, aligusa mioyo ya mamilioni ya watumiaji wa mitandao kama TikTok na Instagram mapema mwaka 2026. Alianza kuvuma baada ya kusambaa kwa video iliyomwonyesha akiimba kwa hisia kali na kutoa machozi wimbo wa "Nisamehe" wa msanii Diameter Pallet. Baadaye, Mzee Kibore alifunguka kuwa hisia zile zilitokana na maumivu ya kweli ya maisha na mapenzi ya nyuma, ambapo aliwahi kuuza nyumba yake ili kumuuguza mwanamke aliyempenda lakini akaishia kuachwa na kuambulia maumivu. Historia hiyo ilimfanya kuwa sehemu ya kazi mbalimbali za msanii Diameter, ikiwemo nyimbo maarufu ya #Fala. Kifo cha Mzee Kibore kimeacha simanzi kubwa kwa mashabiki waliokuwa wakivutiwa na ucheshi pamoja na ukweli wake. Licha ya umri wake, alionekana kuwa mtu mwenye nguvu na mwenye uthubutu, ambapo miezi michache kabla ya kifo chake, alishiriki hata kwenye mbio za TCB Selous Marathon mkoani Morogoro kama njia ya kukabiliana na changamoto za msongo wa mawazo. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.

About