@afyanasauda: *Dalili za PID ni zipi?* Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni 👉Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu 👉Kupata maumivu ya mgongo 👉Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya na miwasho 👉 Utoko huu huambatana na harufu mbaya. 👉Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa 👉Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa ni maumv makali sana na yana umiza sana 👉Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi na hedhi kuto eleweka 👉Kupata homa Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na Pia kutapika Na PID ndio chanzo kikubwa cha ugumba kwa wanawake kwasbb makovu yake husababisha fibroids yani njia za fallopian tubes kuwa blocked hivyo manii haziwezi kupita.. na PID huwezi kutibu kwa kutumia antibiotic kwasbb ugonjwa huu ni wakuambukizwa kupitia ngono... antibiotic ni sumu hbyo bacteria hubadirika umbo pindi wanapo ona sumu na badae tatizo huanza tena.. Maana ya PID ni pelvic inflammatory diseases manaake ni maumbukizi katika via vya uzazi au katika shingo kizazi. Tiba ni kutumia #complete dozi miezi 2 unapona kabisa kwasbb complete ina antioxidants nutrients hii ni kiondoa sumu manaake bacteria yyte hutolewa kwa njia ya maji maji ukeni na uke unakua mkavu kwasbb ndan ya #complete kuna phyto nutrients ndani ya siku 5 tu unaona matokeo kwasbb inanguvu ssna Kumbuka njia kubwa ya kupata maumbukizi haya ni ngono zembe,kutoa mimba,kutumia vipandikizi,kuugua uti mala kwa mala,uchafu ukeni.n.k in box me upate huduma chap