@rogeriochinaglia2: #naturebeauty #naturelover #videobackground #4klivewallpaper #4kwallpaper@Nature lover @Nature lover @Nature lover @user00105007239

Nature lover
Nature lover
Open In TikTok:
Region: BR
Friday 21 November 2025 11:33:27 GMT
908733
4649
985
8006

Music

Download

Comments

angela.cojocari72
Angela Cojocari :
2026-05-05 10:45:39
1
zaykaa542
zaykaa :
класс
2026-02-01 10:30:38
2
ravanamma.ravanam7tyuiop
Ravanamma Ravanamma :
2026-04-30 19:10:51
1
sk.masum1149
sk masum :
2026-04-10 11:04:49
1
edithbazan363
Edith Bazan :
bellas flores
2026-04-16 14:14:52
1
user3716980315779
รออ้ายที่ละหานทรายหวานเจี๊ยบ :
2026-04-16 14:04:57
1
inginhtikumentaimu
🫰Riana🫰cancer♥️ :
cantik ♥️
2026-04-23 17:22:07
1
user3617306176722
พรพรรณ :
วอเปเปอร์เคือนไหว
2026-03-06 15:12:04
1
rosarosas56
Rosa Rosas :
2026-05-09 04:19:40
1
terezinhadapenha1
@ Terezinha dá penha 19 :
lindo
2026-03-02 04:51:41
2
dinamarthaserrano
dinamarthaserrano :
me gusta
2026-03-03 12:43:55
1
user3438768434553
קלרה דובש :
יפה. מאוד. יש ורוגע
2026-04-02 07:18:05
1
bigboypadilla7
bigb0y :
bhe bhe q0uh padillia
2026-01-27 09:50:29
3
user82610961150466mony
82610961150466mony :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-01-20 01:01:50
1
yasir.yasir1424
Yasir Yasir :
2026-02-08 13:09:32
1
ferminsiles0
fermin :
agregar este fondo de pantalla
2026-01-31 20:41:32
2
pattaqjzzsk
น้อยใหม่เพื่อเธอ :
😄😄😄😄สวยจ้าสวยจัง
2026-01-18 07:38:34
1
user252018478
Silvia Isabel Carrió :
❤️❤️
2026-02-17 17:54:18
1
wongciwe6
💫💫 REMBULAN 💫💫 :
kasih sayang yang pernah aku rasakan kini semua hilang bagai di sapi angin malam
2026-03-18 22:55:17
1
user2498003447742
ศศิภา ลาบุญตา :
ขอไห้ทุคนดูและเห็นภาพนี้และมีแต่ควาสุขสดชื่นค่ะ
2026-02-28 03:24:39
1
mamachula935
mariana 93 :
BUENOS DÍAS!!
2026-02-11 02:58:02
1
inesfaria5
Ines Faria :
eu quero este papel de parede
2026-02-12 02:08:32
1
kang.tae.moung
강태명 :
2026-01-18 20:50:58
1
dulce22076
user1852482248397 :
agregar est fondo de pantalla
2026-02-10 17:20:53
1
olgasoto2449
olga soto ruiz :
2025-12-10 20:22:06
1
To see more videos from user @rogeriochinaglia2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme ya Msongo wa Kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma uko kwenye hatua za mwisho za utekelezaji wake, huku ujenzi ukiwa umekamilika kwa asilimia 94 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Agosti 21, 2026. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 28, 2026, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa TANESCO, Bi. Irene Gowelle, amesema ili kuwezesha ukamilishaji wa kazi za mradi huo kutakuwepo na katizo la muda la umeme katika baadhi ya maeneo nchini kwa ratiba maalumu kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza itakua Julai 30 hadi Agosti 4 na ya pili itaanza Agosti 11 hadi 17, 2026. Gowelle amesema hatua hiyo ni sehemu ya maandalizi ya ombi la Mkandarasi anayetekeleza mradi huo kampuni ya TBEA ambayo inalenga kuhakikisha kazi zinafanyika kwa hali ya usalama . “Mradi huu umefikia hatua muhimu sana ya utekelezaji ambapo kipindi hiki, baadhi ya njia za kusafirisha umeme za kilovolti 220 na 132 zitalazimika kuzimwa kwa muda ili kuruhusu kazi za kuvuta na kuunganisha nyaya mpya kufanyika kwa usalama. Hii ni hatua ya kawaida katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya miundombinu ya kusafirisha umeme na inalenga kukamilisha mradi huu wenye manufaa makubwa kwa Taifa,” amesema Bi. Gowelle. Amefafanua kuwa baadhi ya maeneo katika mikoa iliyoko Kanda ya Kati, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya Kusini Magharibi inaweza kuathiriwa kwa nyakati tofauti kulingana na ratiba za utekelezaji wa kazi hizo. Bi. Gowelle amesema TANESCO itaendelea kutoa taarifa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na majukwaa mbalimbali ya mawasiliano ili kuwawezesha wateja kupanga matumizi yao ya umeme kwa kuzingatia ratiba zitakazotolewa. Aidha, amesisitiza kuwa Tanzania ina umeme wa kutosha na kwamba katizo hilo ni la muda, likiwa ni sehemu ya kukamilisha mradi huo wa kimkakati unaolenga kuimarisha uwezo wa usafirishaji wa umeme nchini. Ameongeza kuwa mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara haitahusika katika ratiba hiyo ya katizo. #UhondoTVUPDATES

About