@machinoocomedy: Angalia hii video mpaka mwisho halafu uniambie kama ungekuwa ndo wewe katika hali kama hii ungefanya nini ? Leo adui sio kizuka japo nipo makaburini lindoni leo wanyama ndo wabaya wangu #creatorsearchinsights #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #horror #funny @aishmarry @preciousvictoria42 @Karembo🏝 @dicksonsaid @Glad Ally Ally @Oficial 🦋daty🩷🔐 @❤️Ayness ❤️ @Chenga @Ali Abass @Baba Kendy👺
MACHINOO COMEDY
Region: TZ
Friday 21 November 2025 18:18:01 GMT
Music
Download
Comments
official jaff 🇹🇿🌹🇴🇲♥️ :
machinoo embe usiku jmn 😂😂😂😂
2025-12-10 09:44:42
6
Namba ndogo :
jiuwe mwenyeo😂
2025-12-30 10:09:46
2
nasrichriss :
machinooh ungeenda tuu kwenu
2025-11-25 13:00:52
4
MACHIBYA BABA WA KAMBO :
Mimi ningebaki juu bora nimalizane na nyoka kuliko simba😂😂😂
2025-11-21 18:21:52
8
it's veronic :
Ninge Baki juuu🥰🥰🥰
2026-02-10 16:24:46
1
ABUDULI MASAI COMEDIAN :
Haha chini sishuki ng’o😂😂
2025-11-21 18:29:13
2
charlotte :
mwembe kipemba
2025-12-14 12:26:57
1
PUGU HILLS RESERVE (USHOROBA). :
Aliyejuu mngoje chini😂😂😂😂wahenga mmeshinda😂
2025-12-11 08:08:14
4
Muhidini Abdoully :
leo hakuna kizuka
2025-12-18 07:51:45
1
cute🤩 moureen😍 :
waheng hawapokei cm tamaa mbel maut nyum😂😂😂😂
2025-12-13 18:08:20
1
meta maloba :
10/10
2025-12-13 17:52:56
1
Amina Akida :
utaacha ndala🙁🙁🙁
2026-01-01 18:46:09
1
sammy :
juu
2026-01-03 19:06:12
1
Martha Wilbert :
😂😂 hakuna pa kwenda nikuxubili ufatwe
2025-12-18 09:50:49
2
One day🤔🤔 :
nyoka kama utamuotea shingoni kumkaba umewin ila simba mziki wake hadi kumuweza labda tumuitie sanideo😂😂
2025-12-12 19:26:25
1
⭐H@mdizo St@r⭐ :
apo kak juu zipo siraha nyingi tu vunja miti piga piga uyo nyok
2026-01-31 13:08:58
2
carvina17 :
mm ninge pambana na nyoka na kusubiri Simba aondoke
2026-01-08 16:03:36
2
Namba ndogo :
utakua mgeni wa mungu😂😂
2026-01-02 07:48:42
5
MHK :
bora nyoka baba
2025-12-12 11:37:37
1
beauty angel ally :
wale wa 10/10
2025-12-13 15:21:00
1
Ayshachaz❤️🇹🇿🇴🇲🇮🇶🇶🇦 :
Sasa maembe usiku machinoo jamani😂😂😂😂😂😂😂
2025-11-23 23:58:57
4
Brighven_jay_Vanny :
mm tunge
pambana na nyoka 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-12-10 19:40:52
2
@princensummyjr :
😂😂😂😂Tamaa mbaya
2025-11-23 10:06:46
1
💞Hammy 🌸 :
kwani kupanda bei Gani muembe wenyew mfupi muembe kipemba 🤣🤣🤣
2025-11-23 17:09:22
1
Bajuni jr :
eeeee kubaya hapa
2025-11-22 17:22:11
1
To see more videos from user @machinoocomedy, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.