@a2ztvtanzania: 🗣️"Kama Hamza Khabba Aliwafunga Simba Goli 3 Benjamin Mkapa Stadium 🏟️ Simba Ile Ya Moto Je Atawafunga Ngapi Yanga Pale Zanzibar??" - Camera Full interview ipo you tube gusa link juu kwenye Bios #voiceoffans📢

A2Z TV
A2Z TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 November 2025 05:53:46 GMT
75665
3278
220
65

Music

Download

Comments

defensivemd
DMF :
a few moment later 😂
2025-11-22 16:49:44
88
linetmahaga
mamake Judy :
Afew moments later 🤣🤣
2025-11-22 16:16:21
17
luembauzi1
tunduma boder 🔹️🇹🇿 :
yanga msifananishe na simba
2025-11-22 15:51:48
37
msuya2014
Vice President⏳ :
ofisi yake inapatikana wapi huyu
2025-11-22 18:32:52
16
kiranja.og
Kiranja OG :
kilicho mponza marehemu ni kamdomo
2025-11-22 21:13:03
19
mahaliislaer
mahalislaer :
unatumiya vpn
2025-11-22 08:04:10
8
mwitasonmjukuu
mjukuumwitason official :
haya tukampe hasara huyu kenge mashabiki mlio karibu
2025-11-22 18:08:03
11
veekyle._official956
@veekylie._official :
ila kamdomo😂😂😂😂
2025-11-23 05:25:46
4
ashermedymeddy
Ummu NafNakh :
mmezoea kuishi kwa kukariri bandika bandua fc 😅😅😅 haya sasa anaechelewa kukojoa kakojoa sasa mate wanatema wa msimbazi 😅😅😅😅
2025-11-23 04:29:33
2
zedi.sojah
AMANI :
kafichwa leo na bacca beki la taifa
2025-11-22 18:30:07
3
tinnah597
Tyner💕 :
iyo inaitwa usinene ukamala,,ona sasa Ana dhalilika mtu mzimaa😂😂😂
2025-11-23 07:28:27
6
chriss.buga
Chriss buga :
mtu anaitwa kahaba half unamtegemea😂😂
2025-11-22 17:29:41
3
habibuninja
habibu mohammed :
unatu juwa wazanzibar ww
2025-11-22 17:19:15
4
user3396518573942
kchicable :
haujuwi Mpira tuliya Wewe uza kava za sim kariakoo
2025-11-22 17:47:50
4
user5887842008823
user5887842008823 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamza Khabba yanga bingwaa🥰
2025-11-23 05:38:34
3
simbaboy1982
bluesimba1982 :
oya anapatikana wp huyu😂
2025-11-24 16:39:15
2
junior.p5289
junior p :
unatufanya kam matako yako
2025-11-22 21:44:38
1
4ayouib
Ayoubsia4 :
uvivu tu wakuuza protector na kava z cm🤣😂😂
2025-11-22 21:35:13
1
evelynembuyambuya
evelynembuyambuya :
Naonba lile kava langu
2025-11-24 13:21:27
1
__chapo10
EL :
Huyu shoga yupo wap saiz
2025-11-22 20:31:38
1
ivanmack7
ivanmack7 :
sas simba ni timu sas
2025-11-22 18:51:50
0
sam473016
sam4730 :
moto wa kiume unaongea hiv
2025-11-22 19:06:10
1
asteria9090
. :
Mwenye akaunti yake amtag na matokeo ya Yanga.
2025-11-22 17:49:52
2
naah..cute123.a
Naah cute :
wazaram tunasema usinene ukamala
2025-11-24 14:06:05
1
user3481157799035k
BLACK PERSONAL 🖤 :
ila huyuu mbn nimeanza kumpenda
2025-11-22 07:29:28
2
To see more videos from user @a2ztvtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About