@diva_neftciler:

Diva_Neftciler
Diva_Neftciler
Open In TikTok:
Region: AZ
Saturday 22 November 2025 12:32:57 GMT
3891
31
2
3

Music

Download

Comments

el2019__
. :
godekcenin qiymeti?
2025-11-22 12:41:33
0
nene_restoran
Nənə restoran :
2026-01-02 06:14:01
0
To see more videos from user @diva_neftciler, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Umemaliza chuo lakini hujapata kazi? Au unajua kutumia simu na computer lakini bado hujui namna ya kutumia ujuzi huo kutengeneza kipato? Basi hebu tuzungumze kuhusu Digital Skills. Digital Skills ni uwezo wa kutumia teknolojia kama computer, smartphone na tablet kufanya kazi, kuongeza thamani au kutengeneza kipato. Na skills hizi ziko nyingi sana. Leo nimezigawa kwenye makundi 10: Digital Literacy Misingi ya kutumia computer, simu na internet. Office Productivity Microsoft Word, Excel, PowerPoint na tools nyingine za ofisini. Communication Skills Email, Zoom, WhatsApp, Microsoft Teams na tools za mawasiliano. Digital Marketing SEO, Email Marketing, Social Media Marketing, Paid Ads na nyingine. Creativity Graphics Design, Photography, Video Editing na Video Production. Website & Software Development Website, Applications, APIs na software development. Data Skills Excel, Data Analysis, Dashboards na Analytics. Artificial Intelligence ChatGPT, Gemini, Claude, Prompting, AI Automation na matumizi mengine ya AI. Cyber Security Ulinzi wa taarifa, password management, backups, VPN na usalama wa digital. Specialized Digital Skills CAD, CNC, GIS na skills nyingine maalum kulingana na industry. Sasa unaweza kujiuliza: “Naweza kujifunza wapi skills hizi?” Unaweza kuanza YouTube. Kuna mafunzo mengi bure kabisa, yakiwemo kwenye channel mbalimbali pamoja na Joel Media. Unaweza pia kutumia online courses na platforms mbalimbali za kujifunza. Lakini usifanye kosa la kujifunza kila kitu kwa wakati mmoja. Chagua skill moja. Jifunze. Fanya practical. Jenga portfolio. Kisha tafuta namna ya kuitumia kwenye kazi, biashara au kuwasaidia watu wengine. Kwa sababu kujua skill pekee haitoshi. Unahitaji kujua namna ya kuitumia kutengeneza thamani. Kama video hii imekuongezea uelewa kuhusu Digital Skills, niambie kwenye comment umejifunza kitu gani kipya. Na kama una skill unayotaka kujifunza lakini hujui uanze wapi, andika: “NATAKA KUJIFUNZA” Joel Kadaga Digital Skills Coach

About